Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 16,879
- 31,253
Ndogo sana,kuwekeza 170M upate 2M per monthKwamba rejesho dogo au kubwa sana?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndogo sana,kuwekeza 170M upate 2M per monthKwamba rejesho dogo au kubwa sana?
Safi..Weka UTT tu japo rejesho litapunguaa. Itakuwa 1,600,000/=
Mazingiravya biashara tz ni risk sana hiyo ndio options pekee kwa wengi wasio na ideas za biashara na misukosuko yake..Hivi kwanini sasa hivi kila mtu anawaza kuwekeza UTT na BOT, ina maana mazingira ya kufanya biashara Tanzania yamekuwa magumu sana au purchasing power ya raia imepungua sana? Yaani hakuna anayewaza hata kuhusu fursa za export.
Kanunue boda mpe kijana upate hata hiyo elfu 10 kwa siku..Mkuu nina ka milioni 3,nikitaka kuwekeza mfuko wa bond UTT AMIS rate yake ni sh ngap inakua mkuu?
KwanzA huwezi kaa mwaka mzima ukakosa chance kwenye annual calenda nzimaKaka sio simple kihivyo Ku shinda bid ya bond au treasury bill sio rahisi-unaweza ukawa na fedha zako na usipate hiyo nafasi ya kuzinunua.
Zina ushindani sana,kila MTU anataka kula kwa mrija.
Utakubali kuuza yebo yebo mkuu....sehemu iliyo changamka utachukua fremu uuze jumla na rejareja....Mkuu Kwa mtu mwenye milion 12 vipi
Jenga uza sio rahisi kiivo boss huwezi pata mteja kirahisi kwa faida nzuri maana kila mwezi upate mteja wa kununua nyumba si rahisi abadan.Kama uko interested nipigie 0714 122 011
Nikupe mpango wa Jenga uza,
Utapiga mchele wa kutosha,
Biashara ambayo haina hasara kabisa,
Kama faida inaweza kuwa milioni 3 mpaka 4 kwa mwezi kuanzia tunaanza kujenga mpaka tunaiuza,
Piga simu
mjinga mwenyewe,hicho ulichoandika unafikiri nani asiye kijua, nafikiri hukuipata point yangu vizuri tangu mwanzo umedandia tuu mada, mimi sijapinga mtu ku invest niliuliza miaka hii ya karibuni watu wengi wanakimbizia mitaji yao kwenye mutual funds na bot ni kwamba mazingira ya kufanya biashara tanzania yamekuwa magumu au watu ni wavivu wa kutafuta fursa mpya.?Toa ujinga wako hapa unasema wabongo eti hawajui kutafuta fursa. Umeitembea hii nchi uone wabongo wanavyochakarika! Kutafuta fursa ni Hadi kutoka nje ya nchi kwani. Nchi yetu Ina Kila kitu kwani ni vibaya mtu kukomaa na nchi yake.
Kipindi cha mwendazake kabla hajachafua soko la korosho ungeenda mtwara ukaona wabongo wanavyosambaza mabilioni kwenye korosho!
Usiongee vitu usivuojua.
Mutual funds ni uwekezaji sio biashara. Sio Kila binadamu anaiweza biashara. Sio Kila mtu anaweza compliance za TRA na regulatory bodies zingine za biashara kwanini asiweke Hela yake BOT au UTT AMIS. Kwani ni dhambi.
Huyo alieenda Kongo na Dola Laki 5 ni sawa na Bilion Moja. Hiyo Hela angepelea BOT akanunua BONDS za miaka 25 angekuwa anavuta milion 10+ Kila mwezi.
Na angeweza kutumia BOND certificate kama collateral kuchukulia mkopo bank hadi nusu kwa alichowekeza BOT. Maana yake bank wangeweza kumpa Hadi mkopo wa milion 500.
Hiyo milion 500 ya mkopo angeweza kuwekeza kujenga nyumba kadhaa Dar akapangisha. Kodi ya hizo nyumba ndio zingelipia mkopo. Na kama Kodi ingekuwa ndogo kwenye kulipa mkopo wa bank angetumia sehemu ya ile milion 10 ya riva ya BOT kusaidia kumalizia mkopo.
Mkopo ukiisha. Anakopa Tena bank Kwa kutumia collateral ya hizo nyumba kujengea hizo nyumba. Kumbuka ile Hela ya BOT milion 10 Iko pale pale.
Matajiri wote duniani hutumia Hela za masikini zihazokaa bank kufanyia projects zao. Wewe masikini unapeleka Hela bank MO DEWIJ anaenda kukopa ajengee ma-apartments.
Sio Kila mtu anaweza kuexport au kufanya biashara. Kila mtu afanye jambo Kwa personality yake. Biashara inahitaji roho ngumu , kujikana na kuwa tayari kwa lolote.
Ukiona huna hizo characters tafuta investment basi. Usione wanaoenda kuwekeza hawajielewi.
at least wewe umejibu swali langu nililoulizaMazingiravya biashara tz ni risk sana hiyo ndio options pekee kwa wengi wasio na ideas za biashara na misukosuko yake..
Kunguni wewe ulisoma comprehension kweli wewe.mjinga mwenyewe,hicho ulichoandika unafikiri nani asiye kijua, nafikiri hukuipata point yangu vizuri tangu mwanzo umedandia tuu mada, mimi sijapinga mtu ku invest niliuliza miaka hii ya karibuni watu wengi wanakimbizia mitaji yao kwenye mutual funds na bot ni kwamba mazingira ya kufanya biashara tanzania yamekuwa magumu au watu ni wavivu wa kutafuta fursa mpya.?
kunguni ni wewe mshenzi usieweza kuandika facts mpaka u bully watuKunguni wewe ulisoma comprehension kweli wewe.
Kariakoo kuna watu hawana mitaji(wanatafuta wateja wanachukua mzigo mali kauli wanamake at least 150 kwa siku - though kuna siku wanakosa lakini leo ukipata 150k, unakaa siku 4 pakavu, unapata 2m siku 1, unakaa wiki pakavu, anothe day unamake 700k ukija wastani wa mwezi unakuta una at last 150 daily) na wanamake zaidi ya 3m kwa mwezi wamejenga nyumba hawafanani nazo ukiwaona utajua wameachiwa kulinda, sasa huyu ana m170 anataka 2M huoni ni hajawa well informed, yaani huyu biashara akianza si ajabu akaangukia pua.Kwamba rejesho dogo au kubwa sana?
Jiunge na Niffer atakusaidiaZa jioni wadau,
Naomba mchango wa mawazo yenu, nikiwa na milioni 170 za kitanzania naweza wekeza wapi pesa hii nikapata rejesho lenye tija?
Kwangu mimi rejesho lenye tija ni angalau milioni 2 kwa mwezi.
Natanguliza shukrani.
Kuna mtu anapigwa hapa. Kuwa makini kaka mwenye 170mMkuu,
Kama kweli Upo Serious na Pesa Ipo Sio Kwenye Makaratasi nakucheck PM.Ila kwa Milioni 170 kutaka Faida ya 2 M kwa mwezi huhitaji kuumiza kichwa tembea kwenye Mabenki unaweza fanya Nao negotiation kidogo na risk ikawa Ndogo.Ila Kama Uko Serious Kabisa Nakucheck PM kuna maswali Nitakuuliza Then Huenda Ukaweza Kutengeneza Hadi 7,000,000 kwa Mwezi.
Ushauri wako Utakuwa Umechelewa Sana...Kuna mtu anapigwa hapa. Kuwa makini kaka mwenye 170m
Sijapigwa bado, asanteniUshauri wako Utakuwa Umechelewa Sana...
Wewe huna akili.Kwahyo kwa pesa yako hiyo tunaweza kujenga nyumba mbili kali sana tukauza na kuziuza ndani ya miezi minne tushajenga nyumba mbili na kuziuza tayari(miezi miwili na nusu ujenzi mwezi mmoja na nusu kuuza)
Nyumba moja labda tunajenga kwa milioni 80 yaani kununua kiwanja na kujenga kilakitu tunakuja kuuza milioni 100 kwahyo unafaida ya milioni 20 kwa nyumba moja,
Kwa nyumba mbili unafaida ya milioni 40 kwa mtaji wa milioni 160,
Kumbuka nyumba hizi tumejenga zote na kuuza ndani ya miezi minne tuu,
Kwahyo ndani ya miezi minne tayari unafaida ya milioni 40 inamaana kwa mwezi unakuwa umetengeneza kama milioni 10 kwa mtaji wa milioni 160,
Kwa mwaka kutengeneza faida ya milioni 100 ni kawaida tuu,
Kumbuka mtaji wako unakua kwahyo kwa mwaka unaofata utatengeneza faida ya zaidi ya milioni 200 mwaka unaofata tena ni milioni 400 na kuendelea,
Aliekuwa serious apige simu tufanye kazi
Njoo tufanye kazi Boss [emoji3513] +255 714 122 011