Nahitaji mawazo yenu wakuu

Nahitaji mawazo yenu wakuu

Msaga_sumu

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2022
Posts
289
Reaction score
291
Nahitaji present research yangu katika kampuni flani hapa Tanzania mainly nahitaji gusia maswala ya microfinance kama hizi mikopo ya simu, kausha damu, mikopo ya mitandaoni nk.

Naomba mawazo yenu, changamoto, faida nk gusia chochote kuhusu mada nahitaji andaa kitu bora.

Asanteni Wasomi tunahitaji tatua changamoto mtaani sio kulaza elimu zetu.

Wataalamu wa maswala ya uchumi na biashara msiniangushe hii yenu pia.
 
Binafsi mada sijaielewa, tuchangie kwenye faida zake, hasara zake, changamoto au nini!?.
 
Binafsi mada sijaielewa, tuchangie kwenye faida zake, hasara zake, changamoto au nini!?.
Kwa ufupi changia popote unapoguswa iwe unakisirani iwe unanufaika comment yoyote kuhusu microfinance (mikopo midogo midogo) inamanufaa kwangu.
 
Umesahau t.r.a nao ni kausha damu..wamekausha wafanyabiashara wengi sana, mpaka wengine wamejinyonga..

Then hyo research Yako malizia na ccm wamefisadi nchi na kuwakausha watanzania,wamewakopea world bank, Chinese bank,imf,u.s.a nk then wakawawekea tozo watanzania walipe..mbaya zaidi wakawaaminisha watanzania aneowanyonya ni microfinance na microcredit zilizopo!

Kwa ujinga wa watanzania kama wa mtoa maada ameamua kufanya na research kabisa...
 
Oa respect your self ndugu yangu kama una issue yakuchangia ukimya nao ni muhimu hujatagiwa hapa sasa unaweza anzisha uzi wako afu ukatuita wajinga but ungekua na akili ungejibu kwanza maswala yako maccm sijui machadema sijui majitu gani hayahusiki hapa fanya mishe zako choko wewe.
 
Kuna kitu kinaitwa Finiancial education au Financia literacy, shida iko hapo hakuna kitu kingine.

Watanzania asilimia kubwa sana hawana hii elimu ya kifedha, hata wanao jiita wasomi pia hawana kabisa hii elimu.

Wenzetu, Wazungu na hata watu wa Asia hii elimu wanaaza fundishwa kuanzia Chekechea sasa Africa na hata Tanzania hii elimu haipo kabisa kokote kule.

Watu wangekuwa na hii elimu usingesikia aina hizo za mikopo, hata mikopo mingi ya Benki usiingeisikia.
 
Banki hata wao hawatakagi kabisa watu waipate hii elimu ya kifedha, make wanajua watuvwakiwa full na hii elimu uwezekano wa kukopa kopa unapungua.

Tumefanya sana haya mambo kwenye projects fulani fulani, tume develop manual nyingi za hii mambo, na kuna moja tulidevelop na NMB Bank kulikiwa na Project tunafanya nao Kaskazini Mkoa wa Kilimanjaro.
 
Watu wanakopa tu hata hao wanao kopa kwenye Mabenki waulize riba ni asilimia ngapi na inakatwa katwa vipi hawajui waulize riba ni reducing Balance au ni Straight line methods mtu hajui.

Sasa huko kausha Damu ndio balaa tupu.
 
Back
Top Bottom