Msaga_sumu
JF-Expert Member
- Aug 31, 2022
- 289
- 291
Jitahidi sana kuzingatia alama za uandishi ili iwe rahisi kusomwa na kueleweka, pia kwenye hiyo research yako kua makini usiiandike hovyo kama huu uzi wako. jamaa ungekua na uwezo wa kuniban JF ungeniban anyway kwa mara ya kwanza naona unacomment point 😂 nafanyia kazi
Binafsi mada sijaielewa, tuchangie kwenye faida zake, hasara zake, changamoto au nini!?.Nahitaji present research yangu katika kampuni flani hapa Tanzania mainly nahitaji gusia maswala ya microfinance kama hizi mikopo ya simu, kausha damu, mikopo ya mitandaoni nk.
Naomba mawazo yenu, changamoto, faida nk gusia chochote kuhusu mada nahitaji andaa kitu bora.
Asanteni Wasomi tunahitaji tatua changamoto mtaani sio kulaza elimu zetu.
Wataalamu wa maswala ya uchumi na biashara msiniangushe hii yenu pia.
Eehnbwana awe na utamu wa manenoHakikisha una kilainishi cha maneno
Comment na dp ni kitu mojaHakikisha una kilainishi cha maneno
Eehnbwana awe na utamu wa manenoHakikisha una kilainishi cha maneno
Kwa ufupi changia popote unapoguswa iwe unakisirani iwe unanufaika comment yoyote kuhusu microfinance (mikopo midogo midogo) inamanufaa kwangu.Binafsi mada sijaielewa, tuchangie kwenye faida zake, hasara zake, changamoto au nini!?.
Hiii imeishaEehnbwana awe na utamu wa maneno
Ngoja nishibe kwanza , ntachangie baadae.Kwa ufupi changia popote unapoguswa iwe unakisirani iwe unanufaika comment yoyote kuhusu microfinance (mikopo midogo midogo) inamanufaa kwangu.
Oa respect your self ndugu yangu kama una issue yakuchangia ukimya nao ni muhimu hujatagiwa hapa sasa unaweza anzisha uzi wako afu ukatuita wajinga but ungekua na akili ungejibu kwanza maswala yako maccm sijui machadema sijui majitu gani hayahusiki hapa fanya mishe zako choko wewe.Umesahau t.r.a nao ni kausha damu..wamekausha wafanyabiashara wengi sana, mpaka wengine wamejinyonga..
Then hyo research Yako malizia na ccm wamefisadi nchi na kuwakausha watanzania,wamewakopea world bank, Chinese bank,imf,u.s.a nk then wakawawekea tozo watanzania walipe..mbaya zaidi wakawaaminisha watanzania aneowanyonya ni microfinance na microcredit zilizopo!
Kwa ujinga wa watanzania kama wa mtoa maada ameamua kufanya na research kabisa...