Nahitaji Maziwa ya Jumla Tanga

Nahitaji Maziwa ya Jumla Tanga

Cholowao

Member
Joined
Feb 18, 2018
Posts
78
Reaction score
108
Hivi ni wapi naweza pata maziwa kama lita 1,000 kwa siku nikiwa Tanga?
 
Kwa Tanga inaweza kua ngumu kidogo. Maana wale Tanga fresh huwa wanachukua maziwa yote haijalishi una lita ngapi na si wasumbufu kwenye kulipa.

Hapo ni lazima utafute wafugaji wa ng'ombe wa maziwa na uwalipe juu zaidi ya wanavyolipa Tanga fresh. Na utoe cash upon delivery. Naona kwa namna hiyo ndo utapata hizo lita
 
Ni kweli kabisa mkuu... nimetafuta wafugaji wengi wamegoma kutoa maziwa, nikatumia hii njia ikafanikiwa. Sasa hivi nina wafugaji wawili wanaleta maziwa kutoka Kanga lita 40 na Muheza wanaleta lita 60 kila siku, cash on delivery na bei nimepiga cha juu
 
Back
Top Bottom