Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
na ukame huu?Hivi ni wapi naweza pata maziwa kama lita 1,000 kwa siku nikiwa Tanga?
Ni kweli kabisa mkuu... nimetafuta wafugaji wengi wamegoma kutoa maziwa, nikatumia hii njia ikafanikiwa. Sasa hivi nina wafugaji wawili wanaleta maziwa kutoka Kanga lita 40 na Muheza wanaleta lita 60 kila siku, cash on delivery na bei nimepiga cha juuKwa Tanga inaweza kua ngumu kidogo. Maana wale Tanga fresh huwa wanachukua maziwa yote haijalishi una lita ngapi na si wasumbufu kwenye kulipa.
Hapo ni lazima utafute wafugaji wa ng'ombe wa maziwa na uwalipe juu zaidi ya wanavyolipa Tanga fresh. Na utoe cash upon delivery. Naona kwa namna hiyo ndo utapata hizo lita
Unapatikana wapi??Anauza bei gani