Nahitaji mchumba wa kike anaejielewa, umri wangu 25 nimejiajiri. Hata akiwa ananizidi umri sio mbaya, awe anajielewa tu

Hauko serious wewe unazingua kwani huko mtaani kwako hakuna wanawake? 😂 😂 😂
 
Huyo mama wa mtoto wako umeshindwa nn kumuoa? Wee Una mtoto tayari afu unataka mwanamke asiye na mtoto, uko timamu?

Jiulize km wanaume wote wawe na mawazo km yako, je huyo ulie mzalisha atapata wa kumuoa? Hivi mnaonaga fahari kuharibu maisha ya watoto watu hasa upande wa mahusiano? Afu mkitoka hapo mnakaa vijiweni kunanga single mothers, huo u single mothers wanapata wapi km sio nyie wanaume uchwaraaa ndo sababu?

Km ulijua huna future nae huyo mwanamke kwann ulimzalishaa? Nakerekwa sana, nahurumia mtoto ndo atateseka, sio nyie watu wazima mnaoharibu maisha ya mtoto mdogo asiye na hatia, kisa ujinga na upuuzi wenu nyie. Mxxxiiiiieeeeew.
 
Bora yetu sie tuliozalisha bahati nzuri huyo binti akapata bwana mwingine akafunga nae ndoa 😇
 
Vijana wakishapata ajiri kamshahara ka laki kadhalika wanatafuta mtafunaji wa hako kamshahara, umaskini mara nyingine nikujitakia tunailamu serikali bure mara nyingne.
Hela ikikubali unazibutua kwanza nene, nyembamba, mfupi, mrefu, mwenye tacall, asie na tacall, maex unakumbushia unaenda kwa waliokukataa kipindi una boksa Moja unapiga....baadae ndo uwaze sasa kuoa hapo una 33yrs flan hv
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…