Don Buyoya
Member
- Jun 13, 2024
- 78
- 261
Awe anajielewa, muonekano wa kawaida tu ila ukiwa mzuri wa sura itapendeza zaidi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shida inaanzia hapo ubaoniKimya humu?
😀😀atasumbua sana huyu uzeeni muda wa kula ujana yeye anataka kuuza uhuru wake ?25 unataka kuoa? Mkuu eb angalia angalia huenda ny3g3 ndo tatizo
Hauko serious wewe unazingua kwani huko mtaani kwako hakuna wanawake? 😂 😂 😂Habarini wakuu.
Mie ni kijana wa kiume nina miaka 25. Natafuta mwanamke wa kuwa nae kwenye mahusiano serious na kama tukidumu na tukaendana basi nitamuoa.
Awe anajielewa, muonekano wa kawaida tu ila ukiwa mzuri wa sura itapendeza zaidi. Asiwe mnene sana, napendelea English figure. Rangi yoyote ile japo napendelea mweusi. Mimi nimesoma soma kdg na nina exposure kiasi chake hivyo akiwa na yeye ni msomi kdg au ana exposure itafaa zaidi japo sio lazima.
Kama nilivyosema umri wangu ni 25 ila mwanamke ninaemtaka kwangu umri sio kigezo sana sababu nishadate na walio rika langu na chini ya hapo ila wengj hawajielewi. Hivyo umri asizidi tu 30, cha muhimu awe anajielewa na awe na sifa za mwanamke wa kiafrika, yaani asiwe feminist kabisa.
Mie nina mtoto mdg wa kiume, yeye pia akiwa na mtoto sio mbaya japo napendelea asiwe na mtoto.
Nimejiajiri, nipo Dar, hela za kubadili mboga zipo. Tall kiasi, mweusi, some of my EXs say I'm handsome (japo sina uhakika)
Lengo la kutafuta mke ni kupata mwanamke ambae tutaendana na anaejielewa ili tufurahie maisha na kufanya maendeleo zaidi, unajua maisha mafupi haya na population inaongezeka ila happy couples zinapungua, so sweetheart come we add 1 to the total number of happy couples in the world.
Wewe uta stop kukua?Ungekua na >35 ningekuja ila kuakua kwanza
25 bado hata pressure kutoka kwa jamii hamna afu kizembe anataka kupoteza uhuru😀😀atasumbua sana huyu uzeeni muda wa kula ujana yeye anataka kuuza uhuru wake ?
Yani anataka kuondoka night club saa tatu, hayuko serious kabisa.25 unataka kuoa? Mkuu eb angalia angalia huenda ny3g3 ndo tatizo
Vijana wakishapata ajiri kamshahara ka laki kadhalika wanatafuta mtafunaji wa hako kamshahara, umaskini mara nyingine nikujitakia tunailamu serikali bure mara nyingne.25 unataka kuoa? Mkuu eb angalia angalia huenda ny3g3 ndo tatizo
Hatari sna, umri huo mm ndio kwanza nafikiria kununua kiwanja na ndinga ya kwanza. Hapo nawaza sample gani ya demu sijapita nao. nilifikiria kuoa nilipofika 30.25 bado hata pressure kutoka kwa jamii hamna afu kizembe anataka kupoteza uhuru
Bora yetu sie tuliozalisha bahati nzuri huyo binti akapata bwana mwingine akafunga nae ndoa 😇Huyo mama wa mtoto wako umeshindwa nn kumuoa? Wee Una mtoto tayari afu unataka mwanamke asiye na mtoto, uko timamu?
Jiulize km wanaume wote wawe na mawazo km yako, je huyo ulie mzalisha atapata wa kumuoa? Hivi mnaonaga fahari kuharibu maisha ya watoto watu hasa upande wa mahusiano? Afu mkitoka hapo mnakaa vijiweni kunanga single mothers, huo u single mothers wanapata wapi km sio nyie wanaume uchwaraaa ndo sababu?
Km ulijua huna future nae huyo mwanamke kwann ulimzalishaa? Nakerekwa sana, nahurumia mtoto ndo atateseka, sio nyie watu wazima mnaoharibu maisha ya mtoto mdogo asiye na hatia, kisa ujinga na upuuzi wenu nyie. Mxxxiiiiieeeeew.
At least 30 ni umri mzurHatari sna, umri huo mm ndio kwanza nafikiria kununua kiwanja na ndinga ya kwanza. Hapo nawaza sample gani ya demu sijapita nao. nilifikiria kuoa nilipofika 30.
Inatokea mara chache, ila hakikisha huyo mtoto anapata malezi mazuri na boraa,Bora yetu sie tuliozalisha bahati nzuri huyo binti akapata bwana mwingine akafunga nae ndoa [emoji56]
Hela ikikubali unazibutua kwanza nene, nyembamba, mfupi, mrefu, mwenye tacall, asie na tacall, maex unakumbushia unaenda kwa waliokukataa kipindi una boksa Moja unapiga....baadae ndo uwaze sasa kuoa hapo una 33yrs flan hvVijana wakishapata ajiri kamshahara ka laki kadhalika wanatafuta mtafunaji wa hako kamshahara, umaskini mara nyingine nikujitakia tunailamu serikali bure mara nyingne.