Nahitaji mchumba wa kiume, ukivutiwa na vigezo vyangu karibu

Dah ngoja nijaribu bahati yangu...vipi leo upo free twende lunch tuone kama tuna weza kuwa wapenzi na baadae mume na mke?
Ok kwahiyo unaweza kuona mtu anafaa kuwa mpenzi au mke just kwa kwenda naye lunch? Unataka kumuona anavokula vibaya ama vizuri, unavutiwa na mtu anayekulaje?
 
Hiyo ni starting point...mannerism zake hapo converstaion atakazoanzisha tayari inakupa muelekeo wa kuwa huyu tunaweza endelea kuonana au tupo njia tofauti.
 
Ok nimekuelewa vizuri
 
Sifa ninazo.
Kazi inakuja kwenye nani bora maana tupo kama buku tulio vutiwa
 
Ok unamaanisha hao watu waliovutiwa huwa wanakuja kukuona wewe ndiyo maana unasema mpo buku? Au hii idadi umeitoa wapi?
 
Wenye mawazo kama mimi wapo hao buku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…