Nahitaji mchumba wa kiume, ukivutiwa na vigezo vyangu karibu

aisee Mkuu BC utapata umpendae kwa wakat muafaka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa vigezo nimekidhi na Mimi hitajio langu kwako ni moja umesahau je una makalio ya ziada ya kutosha na hipsi la kutosha walau kama masogange kama ndio njoo inbox mwaka hauishi ndoa tayr.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Samahani mkuu hujahitimisha vigezo ndo hivyo hivyo au vingine vitaongezeka kadri tutakavyoonana!!? πŸ€”πŸ€”
 
Ukitaja mfupi uni pm

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ushauri kwa mabinti mnaotafuta wenza, kwenye kigezo cha kusema huna mtoto au hujazaa; napendekeza muwe mnafafanua vizuri, iwapo ulishawahi toa na umetoa ngapi hizo mimba, au je zilikua zinagoma kunasa au ulikua muumini wa condom.
 
Mkuu vp tena?! Mbona unafanya somo liwe gumu zaidi[emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
jf Hamna mwanaume Single..
πŸ˜‚πŸ˜‚
Ukisikia ma kungwi ndo hawa!
Dada umebakiza Mimi tu ndo nimekosa kwenye list yako! Ndio pekee nipo single πŸ˜‰
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…