Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwenye umbali,hata ukitokea sehemu yoyote,ndani au nje ya nchi sawa tu😀Vnapungua kwa WAP?
🤓Ndiyo
Njoo nakusbr huku chembaKwenye umbali,hata ukitokea sehemu yoyote,ndani au nje ya nchi sawa tu😀
Ukizoea kukwapua IPO siku na wew watakukwapulia broo malipo ni hapa hapa duniani so chunga hilo.na kama unapenda pepo usiogope kifoMimi, mwanamke akishakuwa single tu siwezi kuwa nae maana haiwezekani wanaume wote hawataki kuwanae halafu mimi ndo nitake.
Hua napenda kukwapua mwanamke wa mtu(ambaye hajaolewa), nahisi nikifanya ivo mwenza wangu hatakuwa na muda wa kuuguza vidonda mimi pia muda huo sina, auguze aliye pigwa chini.
Pia naamini ukiwa kwenye mahusiano ni rahisi kuanzisha mahusiano mengine maana unakuwa hauna shobo.
Ok, ahsante kwa mtazamo wako, uwe na jumapili njema🙏Mimi, mwanamke akishakuwa single tu siwezi kuwa nae maana haiwezekani wanaume wote hawataki kuwanae halafu mimi ndo nitake.
Hua napenda kukwapua mwanamke wa mtu(ambaye hajaolewa), nahisi nikifanya ivo mwenza wangu hatakuwa na muda wa kuuguza vidonda mimi pia muda huo sina, auguze aliye pigwa chini.
Pia naamini ukiwa kwenye mahusiano ni rahisi kuanzisha mahusiano mengine maana unakuwa hauna shobo.
Mbona nabisha hodi DM lakini hunifungulii?Hello,
I hope you are all fine,poleni na Corona na tuzidi kuchukua tahadhari tu. back to the point nahitaji rafiki wa kiume ambaye ikipendeza tutaingia hatua zingine kama mahusiano na hata ndoa.
Huu ni wasifu wangu:
Jinsia- am a lady,miaka 28
Kimo- mrefu,rangi maji ya kunde.
Umbo-mwili wa kawaida si mnene wala mwembamba
M.status- single na sina mtoto
Dini- mkristo
Edc- Bachelor Degree
Kazi- nimeajiriwa
Makazi- Dar es salaam.
Sifa za rafiki nimtakaye:
Umri-awe na miaka 30 na kuendelea
Kimo- mrefu pia ukiwa na futi 6 na zaidi itakua vizuri
M.status-awe single
Dini- awe mkristo
Kazi- awe amejiajiri/kuajiriwa
Makazi- awe Dar es salaam au maeneo jirani
NB:Awe tayari kupima magonjwa,nipo tayari pia.
kwa mawasiliano zaidi karibu pm(kwa wenye hizo sifa please)
Weekend njema.
Sijakuona ukibishaMbona nabisha hodi DM lakini hunifungulii?
Tunakusubiri mkuu uanzee😂😂😂 maana wengine hatuna vigezoMbona nabisha hodi DM lakini hunifungulii?
Kwa wale ambao hamna vigezo mimi nitawakirisha au nitakuwa mjumbe wenu.Tunakusubiri mkuu uanzee[emoji23][emoji23][emoji23] maana wengine hatuna vigezo
Jiwakilishe mwenyewe maana hata ukifanya hivyo vigezo havipo mkuuKwa wale ambao hamna vigezo mimi nitawakirisha au nitakuwa mjumbe wenu.
Vigezo gani huna?, usiwe umri lakini😊Jiwakilishe mwenyewe maana hata ukifanya hivyo vigezo havipo mkuu
System itatutema tuu😎
Ahsante 👏Nimeipenda hekima yako hakika
😂 ndo hcho sasa lakin umri si namba tu kikubwa maelewanoVigezo gani huna?, usiwe umri lakini😊
Mmh, hapana acha watoto wawe na watoto wenzao😂 ndo hcho sasa lakin umri si namba tu kikubwa maelewano
Jamani mmesikia hukooo,watoto tukakojoe tulale,hakuna Chetu mjini😂😂 ........Ila baada ya miezi na cku kadhaa utakuja na thread nyingine kwamba umeshusha umri,si tunakutunza tu😊Mmh, hapana acha watoto wawe na watoto wenzao
Ok sawa ,subiri huo uziJamani mmesikia hukooo,watoto tukakojoe tulale,hakuna Chetu mjini😂😂 ........Ila baada ya miezi na cku kadhaa utakuja na thread nyingine kwamba umeshusha umri,si tunakutunza tu😊