Nahitaji mchumba wa kiume, ukivutiwa na vigezo vyangu karibu

Mimi, mwanamke akishakuwa single tu siwezi kuwa nae maana haiwezekani wanaume wote hawataki kuwanae halafu mimi ndo nitake.
Hua napenda kukwapua mwanamke wa mtu(ambaye hajaolewa), nahisi nikifanya ivo mwenza wangu hatakuwa na muda wa kuuguza vidonda mimi pia muda huo sina, auguze aliye pigwa chini.

Pia naamini ukiwa kwenye mahusiano ni rahisi kuanzisha mahusiano mengine maana unakuwa hauna shobo.
 
Ukizoea kukwapua IPO siku na wew watakukwapulia broo malipo ni hapa hapa duniani so chunga hilo.na kama unapenda pepo usiogope kifo
 
Mimi, mwanamke akishakuwa single tu siwezi kuwa nae maana haiwezekani wanaume wote hawataki kuwanae halafu mimi ndo nitake.
Hua napenda kukwapua mwanamke wa mtu(ambaye hajaolewa), nahisi nikifanya ivo mwenza wangu hatakuwa na muda wa kuuguza vidonda mimi pia muda huo sina, auguze aliye pigwa chini.

Pia naamini ukiwa kwenye mahusiano ni rahisi kuanzisha mahusiano mengine maana unakuwa hauna shobo.
Ok, ahsante kwa mtazamo wako, uwe na jumapili njema🙏
 
Hello,
I hope you are all fine,poleni na Corona na tuzidi kuchukua tahadhari tu. back to the point nahitaji rafiki wa kiume ambaye ikipendeza tutaingia hatua zingine kama mahusiano na hata ndoa.

Huu ni wasifu wangu:
Jinsia- am a lady,miaka 28
Kimo- mrefu,rangi maji ya kunde.
Umbo-mwili wa kawaida si mnene wala mwembamba
M.status- single na sina mtoto
Dini- mkristo
Edc- Bachelor Degree
Kazi- nimeajiriwa
Makazi- Dar es salaam.

Sifa za rafiki nimtakaye:
Umri-awe na miaka 30 na kuendelea
Kimo- mrefu pia ukiwa na futi 6 na zaidi itakua vizuri
M.status-awe single
Dini- awe mkristo
Kazi- awe amejiajiri/kuajiriwa
Makazi- awe Dar es salaam au maeneo jirani

NB:Awe tayari kupima magonjwa,nipo tayari pia.

kwa mawasiliano zaidi karibu pm(kwa wenye hizo sifa please)

Weekend njema.
Mbona nabisha hodi DM lakini hunifungulii?
 
Mmh, hapana acha watoto wawe na watoto wenzao
Jamani mmesikia hukooo,watoto tukakojoe tulale,hakuna Chetu mjini😂😂 ........Ila baada ya miezi na cku kadhaa utakuja na thread nyingine kwamba umeshusha umri,si tunakutunza tu😊
 
Ok sawa ,subiri huo uzi
 
Back
Top Bottom