Nahitaji mjadala wa wazi na wafuatao.. Smile, Heaven on earth na Mrembo by Nature..kwanza!


Mjadala Bila Pesa ni Makelele tuuu...
 
Last edited by a moderator:
hahaa hata hao waliopo bungeni ingekuwa maneno matupu wangeenda.......? Madame B naona huyu Sandeni amesahauu kale ka msemo ka enziii kuwa "mkono mtupu haulambwi"

Ndo namshanga huyo Sandeni, eti mjadala.
Kauli Mbiu yenyewe ya JF inasema "MKONO MTUPU HAULAMWBWI"
Sembuse yeye!
Heaven on earth, mwambieni aweke Chapaa ku meza,watu mjimwage.
Ukitaka mtu wa kununua kesi niite.
 
Last edited by a moderator:
Ndo namshanga huyo Sandeni, eti mjadala.
Kauli Mbiu yenyewe ya JF inasema "MKONO MTUPU HAULAMWBWI"
Sembuse yeye!
Heaven on earth, mwambieni aweke Chapaa ku meza,watu mjimwage.
Ukitaka mtu wa kununua kesi niite.

chapaa ziko ndani ya bahasha unaeza kuwa unachangia mjadala kwa nguvu zote ukijua kwenye
bahasha kuna pesa afu unakuja kukutana na kitu usichotegemea
ko chapaa ku meza ili tujidadafue vizur
 
Naamini hii itakuwa post yako ya mwisho jf
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…