Hata akiwa chumbani unasema kweli nnamke...halafu wanajua kupika balaa, hawana maneno mengi niwasikivu Sana.
😂😂😂😂😂aisee aisee mimi hapa 'if I can't carry you, I won't marry you' 😂
Kumbe mchumba anataka XXXX (X nne) hata mie XL nitamfaa akinioa nitafika saizi hiyo....mie moyo wangu umempenda hana mambo mengi😁Umeupata lini ubonge wewe? Au utanenepa ukishaolewa? 😀
Mwenzako anataka matipwatipwa
Changamkia fursa basi 😀.Kumbe mchumba anataka XXXX (X nne) hata mie XL nitamfaa akinioa nitafika saizi hiyo....mie moyo wangu umempenda hana mambo mengi😁
Huyu hapa nimekutafutia kijana wanguUmri wangu 45, mtumishi wa serikali.
Sifa za mke;
1. Elimu kuanzia kidato cha nne.
2. Dini yoyote.
3. Umri iwe Miaka 30-50.
Hivi mume 45 hawezi oa mke wa 50?45 mwanaume gazeti lishafika saa 10, wakati age hii ujana unaisha unakuwa mbaba
Halafu akikususia mzigo kwa kupeperusha miguu hewani. We achatu, ndio maana siwezi kulimbikiza pesa benki.Ila Wana Raha yake hawa, kukauka nadra sana
Nina miaka hamsini, ni mnene mpaka milango ya nyumba nimebomoa maana hapanitoshi, yaani nguo naweka special order viwandani,unasemaje husband to be?Umri wangu 45, mtumishi wa serikali.
Sifa za mke;
1. Elimu kuanzia kidato cha nne.
2. Dini yoyote.
3. Umri iwe Miaka 30-50.
Inaonyesha umri wako ni 26s mm ni mtu mzima huko kote nimepitia, tabia yako tu inaonyesha bado una utoto utoto mwingiNina miaka hamsini, ni mnene mpaka milango ya nyumba nimebomoa maana hapanitoshi, yaani nguo naweka special order viwandani,unasemaje husband to be?