Nahitaji mke wa kuoa awe mnene

Nahitaji mke wa kuoa awe mnene

Kikwava naona imefika jioni umeanza ku-qoute watu Mara mbilimbili 🤣upo wapi sahzi...Rudi nyumban mkuu
Wanisamehe bure ...naona Kama wanania ya kunihujumu hv nismpate bonge wa maisha yangu
 
Ila wanawake tandamu wana raha yake,yaan akivaa gauni unasikia raha,kama tembo vile ila asiwe na miguu kama ya wale kina kyekuu wa enzi zileee,pia wana roho safi,hawapend ugomvi na watamu mno!!!kila la kheri kaka
 
ASANTE šŸ™šŸ¼
 
Umri wangu 45, mtumishi wa serikali.

Sifa za mke;
1. Elimu kuanzia kidato cha nne.
2. Dini yoyote.
3. Umri iwe Miaka 30-50.
Nina miaka hamsini, ni mnene mpaka milango ya nyumba nimebomoa maana hapanitoshi, yaani nguo naweka special order viwandani,unasemaje husband to be?
 
Back
Top Bottom