Nahitaji mke wa pili muislam

Nahitaji mke wa pili muislam

Is-haqqa

Member
Joined
Dec 12, 2019
Posts
28
Reaction score
46
Habari,
Ninahitaji mke wa pili, naandika tena (Mke wa pili) alie muislamu.

Sifa yangu.
1. Nina mke mmoja
2. Nina mtoto mmoja
3. Nimeajiriwa
4. Muislamu

Nahitaji mke wa pili mwenye sifa hizi
1. Awe mwanamke au mjane
2. Awe muislamu
3. Umri 25 - 33
4. Awe ameajiriwa (Dar es salaam)
5. Asiwe na mtoto
6. Swala la maadili ni juu yangu (kumkubali au kumkataa)
7. Awe tayari kuwa mke wa pili
8. Kama una sifa dm

Wabillahi taufiq.
 
Wake wa wili ni raha ila uwe na pesa ya kutosha sio ya mshahara kama wa waalimu.
 
Huo ni uzinifu, mkuu. Mke mmoja na mume mmoja tu ndiyo kanuni ya ndoa
Mimi ni muislamu na kitabu changu kimenipa ruhusa. Ili nisiwe mzinifu katika Quran ( Sura: Nisaa (Wanawake) : Aya ya 3.

"Na ikiwa mnaogopa kuwa hamtowafanyia mayatima uadilifu, basi oeni mnao
wapenda katika wanawake, wawili au watatu au wane. na mkiogopa kuwa hamwezi
kufanya uadilifu, basi mmoja tu, au wale ambao mikono yenu ya kulia imewamiliki.
Kufanya hivi ndiko kutapelekea msikithirishe wana."

Tupe ushahidi kuwa mke wa pili ni uzinifu????
 
Kwa mujibu wa Biblia, mkuu. Na bahati nzuri Uislamu unawaelekeza mjifunze kwa wale wenye ^vitabu vilivyotangulia.^
 
Hiyo unaitoa wapi we wataka awe na michepuko ndo alizishe mahitaji yake ya mwili....
Hapana. Sijasema hivyo, mkuu Covax . Maana yangu ni kwamba aridhike na huyo mmoja, aache tamaa za mwili. Mbona mkewe yeye anaridhika naye huyo mmoja?

Kwani akiwa na wanne ndipo hiyo tamaa itaisha?
 
Hapana. Sijasema hivyo, mkuu Covax . Maana yangu ni kwamba aridhike na huyo mmoja, aache tamaa za mwili. Mbona mkewe yeye anaridhika naye huyo mmoja?

Kwani akiwa na wanne ndipo hiyo tamaa itaisha?
Mkuu wajua mateso ya mke moja sema tu wengine tunakosa uwezo tu. Mke moja akiwa hedhi na wewe unakua hedhi akifungua na wewe anaingia eda ya siku 40, loh akifiwa na kusafiri kuenda kwao na wewe pia unakua umesafiri, hato mateso ya nini kama una uwezo, mchepuko ni gharama na hatari kwa ukimwi.
 
Biblia imesemaje
Mi sijasoma biblia coz mi ni muislamu
Ndiyo usome, mkuu. Logically, principle-wise, humanly speaking and morally, polygamy doesn't make any sense. How can you even tell your dear wife, I LOVE YOU, in the very sense of the word?
 
Ndiyo usome, mkuu. Logically, principle-wise, humanly and morally, polygamy doesn't make any sense. How can you even tell your dear wife, I LOVE YOU, in the very sense of the word?
Mi nimeshasoma qurani tayari. Imetosha
Sasa mimi mwislamu nisome biblia kwa jili gani. Labda uje unisomeshe mkuu.
 
Ndiyo usome, mkuu. Logically, principle-wise, humanly speaking and morally, polygamy doesn't make any sense. How can you even tell your dear wife, I LOVE YOU, in the very sense of the word?
Una kitabu mkuu common sense ya nini.
Kitabu ni muongozo wa maisha. Ingekuwa ni common sense kila mmoja angefanya atakavyo bila ya miongozo.
 
Back
Top Bottom