Nahitaji mke wa pili muislam

Nahitaji mke wa pili muislam

Habari,
Ninahitaji mke wa pili, naandika tena (Mke wa pili) alie muislamu.

Sifa yangu.
1. Nina mke mmoja
2. Nina mtoto mmoja
3. Nimeajiriwa
4. Muislamu

Nahitaji mke wa pili mwenye sifa hizi
1. Awe mwanamke au mjane
2. Awe muislamu
3. Umri 25 - 33
4. Awe ameajiriwa (Dar es salaam)
5. Asiwe na mtoto
6. Swala la maadili ni juu yangu (kumkubali au kumkataa)
7. Awe tayari kuwa mke wa pili
8. Kama una sifa dm

Wabillahi taufiq.

Kwanini unataka kuongeza mke wa pili?, au kwakuwa dini inaruhusu?, unajiongezea mzigo usio na sababu
 
Habari,
Ninahitaji mke wa pili, naandika tena (Mke wa pili) alie muislamu.

Sifa yangu.
1. Nina mke mmoja
2. Nina mtoto mmoja
3. Nimeajiriwa
4. Muislamu

Nahitaji mke wa pili mwenye sifa hizi
1. Awe mwanamke au mjane
2. Awe muislamu
3. Umri 25 - 33
4. Awe ameajiriwa (Dar es salaam)
5. Asiwe na mtoto
6. Swala la maadili ni juu yangu (kumkubali au kumkataa)
7. Awe tayari kuwa mke wa pili
8. Kama una sifa dm

Wabillahi taufiq.
Mfikirie huyu

 
Kwa mujibu wa Biblia, mkuu. Na bahati nzuri Uislamu unawaelekeza mjifunze kwa wale wenye ^vitabu vilivyotangulia.^
Hakuna uislamu uliofundisha kufuata biblia wachilia mbali sheria za wale waliotutangulia katika torati, injili na zaburi na vile tusivyovijua.

Isipokuwa tukikuta kinachowafikiana na sheria yetu basi tunaendelea nacho kwa kuzingatia sheria yetu.
 
Ndiyo usome, mkuu. Logically, principle-wise, humanly speaking and morally, polygamy doesn't make any sense. How can you even tell your dear wife, I LOVE YOU, in the very sense of the word?
Talking about Mfalme Solomon, Nabii Ibrahim unazan walikua wehu kua na wake wengi
 
Mfikirie huyu


Mtoa mada amesema asiwe na mtoto
 
Kumbukumbu la torati 21:

14 Tena utakapokuwa huna furaha naye, mpe ruhusa aende atakako; lakini usimwuze kabisa kwa fedha, usimfanye kama mtumwa, kwa kuwa ulimtweza.

15 Akiwa mtu yuna wake wawili, mmoja ampenda, mmoja hampendi, nao wamemzalia watoto, ampendaye na asiyempenda wote wawili; na yule mzaliwa wa kwanza akiwa ni wa mke asiyependwa;

16 ndipo itakapokuwa ya kwamba siku atakayowarithisha wanawe alivyo navyo, asimweke mwana wa ampendaye kuwa mzaliwa wa kwanza mbele ya mwana wa asiyempenda, naye ndiye mzaliwa wa kwanza huyu;

17 lakini amkubali mzaliwa wa kwanza mwana wa yule asiyempenda, kwa kumpa mafungu mawili katika vyote alivyo navyo; kwa maana ndiye mwanzo wa nguvu zake; haki ya mzaliwa wa kwanza ni yake yeye.

NDOA ZA MITALA ZIMEHALALISHWA HADI KWENYE BIBLIA!!
Sasa wakristo wanasoma Biblia gani mbona wanatuchanganya?!
 
Mimi ni muislamu na kitabu changu kimenipa ruhusa. Ili nisiwe mzinifu katika Quran ( Sura: Nisaa (Wanawake) : Aya ya 3.

"Na ikiwa mnaogopa kuwa hamtowafanyia mayatima uadilifu, basi oeni mnao
wapenda katika wanawake, wawili au watatu au wane. na mkiogopa kuwa hamwezi
kufanya uadilifu, basi mmoja tu, au wale ambao mikono yenu ya kulia imewamiliki.
Kufanya hivi ndiko kutapelekea msikithirishe wana."

Tupe ushahidi kuwa mke wa pili ni uzinifu????
Dini inakufundisha kubagua wanawake wenye watoto?
 
Huyo wa lwanza aa mapingufu yapi mpaka inayafuta wa poli. Ni kitakachokufanya usitafite wa tatu na wanne. Nimeuliza tuu kuwasaidia wanawake wanaotafuta ndoa humu ndani
 
Back
Top Bottom