Is-haqqa
Member
- Dec 12, 2019
- 28
- 46
- Thread starter
- #41
Haha, apo imemaanisha ikiwa mtu anamuliki mtumwa (mikono yenu imewamiliki) kwa wakati huo. Unaweza kumuoa kuwa mkeo wa ndo.
Kipindi icho watu walikuwa na watumwa, na lengo ilikuwa ukimuoa mtumwa tayari umesha mkomboa tayari anakuwa mke (muungwana) na ikitokea ameachika harudi kuwa mtumwa anakuwa mtu huru