Jasmoni Tegga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2020
- 12,624
- 24,751
Bila common sense hata hicho kitabu huwezi kukielewa. Common sense maana yake rahisi ni natural intelligence ama judgment.Una kitabu mkuu common sense ya nini.
Kitabu ni muongozo wa maisha. Ingekuwa ni common sense kila mmoja angefanya atakavyo bila ya miongozo.
Vp siku ambazo mwanamke yupo kwenye mzunguko wa hedhi, vp kuhusu kipindi ambacho mwanamke anakaribia kujifungua na vipi kuhusu madiku ambayo mwanamke ametoka kujifungua (uke ukiwa umechanika kutokana na kupita kwa mtoto na kisha kutoka damu chafu ya uzazi)?Hapana. Sijasema hivyo, mkuu Covax . Maana yangu ni kwamba aridhike na huyo mmoja, aache tamaa za mwili. Mbona mkewe yeye anaridhika naye huyo mmoja?
Kwani akiwa na wanne ndipo hiyo tamaa itaisha?
Kitabu hutakiwi kutumia common sense. Unatakiwa kufundishwa ndio mana kitabu kinakuja na mitume, wanakuja wasomi waliopokea mafundisho ndio elimu inakufika.Bila common sense hata hicho kitabu huwezi kukielewa. Common sense maana yake rahisi ni natural intelligence ama judgment.
Kila la heri Sheikh. Mnyazi Mungu Subhana wa Taallah akujalie heri ya kupata hitaji la moyo wako. Insha Allah!Habari,
Ninahitaji mke wa pili, naandika tena (Mke wa pili) alie muislamu.
Sifa yangu.
1. Nina mke mmoja
2. Nina mtoto mmoja
3. Nimeajiriwa
4. Muislamu
Nahitaji mke wa pili mwenye sifa hizi
1. Awe mwanamke au mjane
2. Awe muislamu
3. Umri 25 - 33
4. Awe ameajiriwa (Dar es salaam)
5. Asiwe na mtoto
6. Swala la maadili ni juu yangu (kumkubali au kumkataa)
7. Awe tayari kuwa mke wa pili
8. Kama una sifa dm
Wabillahi taufiq.
Asante kumbe ata biblia imeruhusu.Kutoka 21:10
Kama huyo bwana akioa mke mwingine, lazima aendelee kumtosheleza mkewe wa kwanza kwa chakula, mavazi na haki zake za ndoa.
Mkuu una mtoto ila hutaki aliye na mtoto.Habari,
Ninahitaji mke wa pili, naandika tena (Mke wa pili) alie muislamu.
Sifa yangu.
1. Nina mke mmoja
2. Nina mtoto mmoja
3. Nimeajiriwa
4. Muislamu
Nahitaji mke wa pili mwenye sifa hizi
1. Awe mwanamke au mjane
2. Awe muislamu
3. Umri 25 - 33
4. Awe ameajiriwa (Dar es salaam)
5. Asiwe na mtoto
6. Swala la maadili ni juu yangu (kumkubali au kumkataa)
7. Awe tayari kuwa mke wa pili
8. Kama una sifa dm
Wabillahi taufiq.
Kwani wewe una mtoto? Au unasema kwa niaba ya wengineMkuu una mtoto ila hutaki aliye na mtoto.
Kwani wewe una mtoto? Au unasema kwa niaba ya wengine
Kwani mkuu hakuna wenye wake watatu na BADO wanatoka nje ya ndoa?Hiyo unaitoa wapi we wataka awe na michepuko ndo alizishe mahitaji yake ya mwili....
Wapo ila sio kigezo cha kuhukumu wengine wanao tulia wakiwa na wake zake wawili.Kwani mkuu hakuna wenye wake watatu na BADO wanatoka nje ya ndoa?
Hapo nimekuelewa sana🙏Wapo ila sio kigezo cha kuhukumu wengine wanao tulia wakiwa na wake zake wawili.
Kumbukumbu la torati 21:Kutoka 21:10
Kama huyo bwana akioa mke mwingine, lazima aendelee kumtosheleza mkewe wa kwanza kwa chakula, mavazi na haki zake za ndoa.
Amesema nani?Huo ni uzinifu, mkuu. Mke mmoja na mume mmoja tu ndiyo kanuni ya ndoa
Wengi wanaficha mimi nimependa msisitizo wake kabisa.Naona umerudia hili neno (mke wa pili) mara tano (5) kwa msisitizo sana...[emoji4]
Mimi ni muislamu na kitabu changu kimenipa ruhusa. Ili nisiwe mzinifu katika Quran ( Sura: Nisaa (Wanawake) : Aya ya 3.
"Na ikiwa mnaogopa kuwa hamtowafanyia mayatima uadilifu, basi oeni mnao
wapenda katika wanawake, wawili au watatu au wane. na mkiogopa kuwa hamwezi
kufanya uadilifu, basi mmoja tu, au wale ambao mikono yenu ya kulia imewamiliki.
Kufanya hivi ndiko kutapelekea msikithirishe wana."
Tupe ushahidi kuwa mke wa pili ni uzinifu????
'...au wale ambao mikono yenu ya kulia imewamiliki.' Hivi mke anamilikiwa, sawasawa na gari, au nyumba, au mali nyingine yo yote?