Nahitaji mke wa pili muislam


Kwanini unataka kuongeza mke wa pili?, au kwakuwa dini inaruhusu?, unajiongezea mzigo usio na sababu
 
Mfikirie huyu

 
Kwa mujibu wa Biblia, mkuu. Na bahati nzuri Uislamu unawaelekeza mjifunze kwa wale wenye ^vitabu vilivyotangulia.^
Hakuna uislamu uliofundisha kufuata biblia wachilia mbali sheria za wale waliotutangulia katika torati, injili na zaburi na vile tusivyovijua.

Isipokuwa tukikuta kinachowafikiana na sheria yetu basi tunaendelea nacho kwa kuzingatia sheria yetu.
 
Ndiyo usome, mkuu. Logically, principle-wise, humanly speaking and morally, polygamy doesn't make any sense. How can you even tell your dear wife, I LOVE YOU, in the very sense of the word?
Talking about Mfalme Solomon, Nabii Ibrahim unazan walikua wehu kua na wake wengi
 

Mtoa mada amesema asiwe na mtoto
 
Sasa wakristo wanasoma Biblia gani mbona wanatuchanganya?!
 
Dini inakufundisha kubagua wanawake wenye watoto?
 
Ndo inahitaji machaguzi hakuna ubaguzi kwenye kuchagua mke. Unatafuta unacho kitaka tu
Shemeji samahani.....hivi ukiwa na wake wawili unaweza kuwa unapiga threesome au hii hairuhusiwi
 
Huyo wa lwanza aa mapingufu yapi mpaka inayafuta wa poli. Ni kitakachokufanya usitafite wa tatu na wanne. Nimeuliza tuu kuwasaidia wanawake wanaotafuta ndoa humu ndani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…