Nahitaji mke wa pili nioe ndani ya miezi 5

Nahitaji mke wa pili nioe ndani ya miezi 5

Vibabu wengine tuna matatizo sana, sasa huyo mbibi wa 50+ anaanzaje kuzaa? Huyo mtoto wa nyie vizee viwili nani atamlea na kumtuza? Hata STD 7 hajamaliza mmoja ame RIP mwingine kikongwe. Wewe tafuta wa kukojoleana mmakizie uzee.
Halafu umesema mkristo?
Dini yoyote. Yote sawa
 
mchumba tuambie mke.mkubwa yuko wapi? namna ndoa ya kikristu nae halafu unataka ya kikristu tena
 
Dunia simama nishukee, hii safari siwezi endelea nayo. Lol
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
 
Walau ungeanzia 35 kwenda juu mkuu.
 
Back
Top Bottom