Mung Chris
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 3,391
- 3,849
- Thread starter
-
- #21
Dini yoyote. Yote sawaVibabu wengine tuna matatizo sana, sasa huyo mbibi wa 50+ anaanzaje kuzaa? Huyo mtoto wa nyie vizee viwili nani atamlea na kumtuza? Hata STD 7 hajamaliza mmoja ame RIP mwingine kikongwe. Wewe tafuta wa kukojoleana mmakizie uzee.
Halafu umesema mkristo?
Inategemea kwa kila mtu imemkuta kwa umri ganiWatu wanalewa wanaleta uzi,,, ! Kuna kitu kinaitwa menopause unakijua ?
Miaka 49-50 mwanamke kuzaa inawezekana Ila inaweza mletea death complicationsMtoto 1 tu njia yoyote ile hata tusipo pata sawa tu
ay dee ana ngapi etimiaka 49-51 anaanzia wapi kuzaa
51j
ay dee ana ngapi eti