Habari ndugu wanaJF wenzangu mimi ni mgeni humu ndani. Nimejulishwa jukwaa hili na rafiki yangu wa karibu baada ya kumuelezea changamoto nazopitia katika ofisi yangu.
Kiufupi ni kwamba mimi ni msichana umri miaka 25 nimemaliza shahada ya ualimu mwaka juzi. Baada ya kukaa mtaani kwa takrban mwaka mmoja likanijia wazo la kuanzia day care and nursery school ili niweze kupata hela ya kujikimu hivyo Januari 2025 nikaanza rasmi nikiwa sina mtaji wa kutosha zaidi ya elimu ilioko kichwani kwa kweli muitikio wa wazazi ulikuwa ni mkubwa kiasi.
Kwan nilifunga shule nikiwa na watoto 28 japokuwa hakukuwa na mazingira mazuri kwa malezi ya watoto
Sasa changamoto inakuja ni kwamba baada tu ya mimi kuanzisha mwaka huu akajitokeza mtu mwingine umbali kama wa mita 500 toka nilipo akaanzisha day care nyingine lakini akiwa ameboresha kwenye upande wa mazingira kuanzia bembea za watoto hadi viti na meza hivo hali hii ilinisononesha na sikuwa nimejipanga na jambo hilo kwa sasa.
Kwan kiasi nachopata darasani nagawa kwa mpishi, kodi ya jengo pamoj na msaidizi mwingine hivyo nimeshindwa kupata hela ya pamoja kufanya majambo hayo...!
Hivyo sasa lengo kuu la kuandika uzi huu ni kuomba msaada kwa yetote aliyewiwa either anichangie au anikopesh ili niweze kufanya jambo hilo ili na mm niwe kwenye ushindani. Tathmini ya haraka nahitaji kiasi cha shilingi laki tano na nitailipa ndani ya miezi mitatu
Dhamana pekee niliokuwa nayo ni academic certificate ahsante...
Mawasiliano yangu ni 0777079979 au 0797760185