Nahitaji mkopo wa haraka kutoka kwa mtu binafsi (Dar es Salaam)

Mshimba1971

Member
Joined
Dec 13, 2021
Posts
75
Reaction score
67
Wadau salaamu,

Nahitaji mkopo wa haraka na dharura kutoka kwa mtu binafi wa kiasi cha milioni 2, nitarejesha kwa riba ya 40% baada ya mwezi 1.

Dhamana:

1. Gari langu rav4 namba D (nitakabidhi certified copy ya kadi ya gari)

2. Biashara yangu ya bucha (ilioko Bunju B - Mabwepande)

Naomba wasiliana nami inbox.

Ahsanteni
 
Naitamani hiyo riba ila..........nikiangalia pesa zilizopo nje mpaka zingine unasamehe

Nikushauri tu ndugu waone micro credits zipo nyingi na wengi miongoni mwa sharti kadi ya gari
Mfano pale makumbusho
Wengine platinum credits n.k
 
Kawaone wazee wa mikopo sijui platinum wale na wengineo. Watakupatia pesa kwa hiyo collateral. Maana ni pesa ndogo. Ila mambo ya kukopeshana siku hizi raia huwa mnakuwa watata kulipa.

Tena mtu anakununia kabisa mkianza kudaiana na anakuwekea sura sasa me nitafanyaje kama hela sina usinichanganye bana. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuu nashukuru sana wa usahauri, Nimejaribu huko shida wana mlolongo mrefu sana na wanataka ulipe makato kwanza zaidi ya laki 3, kufunga gari car tracking (ulipe kwanza), Ukaguzi wa gari(Ulipe kwanza) na processing fee, na mambo kadhaa ni mtihani mkubwa kwa wanaitaji hela kwa dharura
 
Wadau salaamu,

Nahitaji mkopo wa haraka na dharura kutoka kwa mtu binafi wa kiasi cha milioni 2, nitarejesha kwa riba ya 40% baada ya mwezi 1.

Dhamana:

1. Gari langu rav4 namba D (nitakabidhi certified copy ya kadi ya gari)

2. Biashara yangu ya bucha (ilioko Bunju B - Mabwepande)

Naomba wasiliana nami inbox.

Ahsanteni
Hebu tuwekee picha ya hiyo gari, boss
 
Kawaone wazee wa mikopo sijui platinum wale na wengineo. Watakupatia pesa kwa hiyo collateral. Maana ni pesa ndogo. Ila mambo ya kukopeshana siku hizi raia huwa mnakuwa watata kulipa.

Tena mtu anakununia kabisa mkianza kudaiana na anakuwekea sura sasa me nitafanyaje kama hela sina usinichanganye bana. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hiyo biashara mother wangu alikua anaifanya na madeni nilikua namsaidia kwenda kudai aseeh mkopaji ni msumbufu tena wengine hadi anakutolea maneno machafu mtu unakasirika ,mwingine unaenda kwake kumdai anajificha ndani anawaambia tuu watoto mwambie mama au baba hayupo kumbe amekaa zake ndani
 
Wadau salaamu,

Nahitaji mkopo wa haraka na dharura kutoka kwa mtu binafi wa kiasi cha milioni 2, nitarejesha kwa riba ya 40% baada ya mwezi 1.

Dhamana:

1. Gari langu rav4 namba D (nitakabidhi certified copy ya kadi ya gari)

2. Biashara yangu ya bucha (ilioko Bunju B - Mabwepande)

Naomba wasiliana nami inbox.

Ahsanteni
Gari vipi utaniachia ama unanipa copy ya card tu?
 
Hiyo biashara mother wangu alikua anaifanya na madeni nilikua namsaidia kwenda kudai aseeh mkopaji ni msumbufu tena wengine hadi anakutolea maneno machafu mtu unakasirika ,mwingine unaenda kwake kumdai anajificha ndani anawaambia tuu watoto mwambie mama au baba hayupo kumbe amekaa zake ndani
Si mchezo.
Siku hizi nimewapa tenda mabaunsa kwenda kudai.
 
Certified copy duuuuuuuuu.
Wanasheria wenyewe wanaopiga muhuri siku hizi hawasomi original certificate.
Kama una uhakika wa kupata hiyo pesa kwanini usimpe gari mdai wako mpaka utakapopata?
Kuna jamaa kaacha cluger kwa laki 6 huu mwezi wa tatu. Kweli life gumu.
Mungu akutangulie ndugu usije kukutana na wachawi ukakosa marejesho ukafilisiwa
 
Back
Top Bottom