Mshimba1971
Member
- Dec 13, 2021
- 75
- 67
Laki nne hiyo kwa mwezi faida
Achana na hiyo laki 4,,Utajikuta unanunua Toyota rav 4 kwa 2M na bucha juu. Hili bonge la bingoLaki nne hiyo kwa mwezi faida
Mkuu nashukuru sana wa usahauri, Nimejaribu huko shida wana mlolongo mrefu sana na wanataka ulipe makato kwanza zaidi ya laki 3, kufunga gari car tracking (ulipe kwanza), Ukaguzi wa gari(Ulipe kwanza) na processing fee, na mambo kadhaa ni mtihani mkubwa kwa wanaitaji hela kwa dharuraKawaone wazee wa mikopo sijui platinum wale na wengineo. Watakupatia pesa kwa hiyo collateral. Maana ni pesa ndogo. Ila mambo ya kukopeshana siku hizi raia huwa mnakuwa watata kulipa.
Tena mtu anakununia kabisa mkianza kudaiana na anakuwekea sura sasa me nitafanyaje kama hela sina usinichanganye bana. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ununue RAV 4 kwa certified copy ya registration card? Atoe kadi original na gari mbele ya wakili au mahakama, hapo sawa.Achana na hiyo laki 4,,Utajikuta unanunua Toyota rav 4 kwa 2M na bucha juu. Hili bonge la bingo
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Hebu tuwekee picha ya hiyo gari, bossWadau salaamu,
Nahitaji mkopo wa haraka na dharura kutoka kwa mtu binafi wa kiasi cha milioni 2, nitarejesha kwa riba ya 40% baada ya mwezi 1.
Dhamana:
1. Gari langu rav4 namba D (nitakabidhi certified copy ya kadi ya gari)
2. Biashara yangu ya bucha (ilioko Bunju B - Mabwepande)
Naomba wasiliana nami inbox.
Ahsanteni
Hiyo biashara mother wangu alikua anaifanya na madeni nilikua namsaidia kwenda kudai aseeh mkopaji ni msumbufu tena wengine hadi anakutolea maneno machafu mtu unakasirika ,mwingine unaenda kwake kumdai anajificha ndani anawaambia tuu watoto mwambie mama au baba hayupo kumbe amekaa zake ndaniKawaone wazee wa mikopo sijui platinum wale na wengineo. Watakupatia pesa kwa hiyo collateral. Maana ni pesa ndogo. Ila mambo ya kukopeshana siku hizi raia huwa mnakuwa watata kulipa.
Tena mtu anakununia kabisa mkianza kudaiana na anakuwekea sura sasa me nitafanyaje kama hela sina usinichanganye bana. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Gari vipi utaniachia ama unanipa copy ya card tu?Wadau salaamu,
Nahitaji mkopo wa haraka na dharura kutoka kwa mtu binafi wa kiasi cha milioni 2, nitarejesha kwa riba ya 40% baada ya mwezi 1.
Dhamana:
1. Gari langu rav4 namba D (nitakabidhi certified copy ya kadi ya gari)
2. Biashara yangu ya bucha (ilioko Bunju B - Mabwepande)
Naomba wasiliana nami inbox.
Ahsanteni
Unampa hela anaenda rekebisha gari yake analiuza.Acha masihara mkuu, yani uchukue 2m kwa dhamana ya certified copy?
Labda kama unaacha na gari yenyewe hapo sawa.
Ukiwa sawa na hilo chap tuonane hapo kwa pilato
Si mchezo.Hiyo biashara mother wangu alikua anaifanya na madeni nilikua namsaidia kwenda kudai aseeh mkopaji ni msumbufu tena wengine hadi anakutolea maneno machafu mtu unakasirika ,mwingine unaenda kwake kumdai anajificha ndani anawaambia tuu watoto mwambie mama au baba hayupo kumbe amekaa zake ndani
Vipi inaendeleaje sahizi baada ya mabaunsa kula shavu?Si mchezo.
Siku hizi nimewapa tenda mabaunsa kwenda kudai.