Iko good nidhamu imeongezekaVipi inaendeleaje sahizi baada ya mabaunsa kula shavu
Ni laki nane kwa mwezi, bossLaki nne hiyo kwa mwezi faida
Umefanikiwa tayari boss?Nashukuru wadau wote kwa mawazo yenu both positive na negative yamesaidia kuelekea kupata muafaka wa tatizo langu Ahsanteni sana.
Tunafanya maisha kuwa magumu sana kwa kukosa uaminifuKawaone wazee wa mikopo sijui platinum wale na wengineo. Watakupatia pesa kwa hiyo collateral. Maana ni pesa ndogo. Ila mambo ya kukopeshana siku hizi raia huwa mnakuwa watata kulipa.
Tena mtu anakununia kabisa mkianza kudaiana na anakuwekea sura sasa me nitafanyaje kama hela sina usinichanganye bana. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Shukurani ndugu yangu, naendelea kupambana, nitafanikisha!Pole sana na Kila la kheri...
Ingia kwa micro finance mbona zipo nyingi Sana. Mana mtu private hayuko certified kutoa mkopo kwa Mana mkizinguana kutolipa mkopo utampa kazi nyingine tena ya kupambana.Wadau salaamu,
Nahitaji mkopo wa haraka na dharura kutoka kwa mtu binafi wa kiasi cha milioni 2, nitarejesha kwa riba ya 40% baada ya mwezi 1.
Dhamana:
1. Gari langu rav4 namba D (nitakabidhi certified copy ya kadi ya gari)
2. Biashara yangu ya bucha (ilioko Bunju B - Mabwepande)
Naomba wasiliana nami inbox.
Ahsanteni
Weka no yako ya simu au nitumie inboxWadau salaamu,
Nahitaji mkopo wa haraka na dharura kutoka kwa mtu binafi wa kiasi cha milioni 2, nitarejesha kwa riba ya 40% baada ya mwezi 1.
Dhamana:
1. Gari langu rav4 namba D (nitakabidhi certified copy ya kadi ya gari)
2. Biashara yangu ya bucha (ilioko Bunju B - Mabwepande)
Naomba wasiliana nami inbox.
Ahsanteni
kasema anahitaji kwa mtu na sio taasisiNaitamani hiyo riba ila..........nikiangalia pesa zilizopo nje mpaka zingine unasamehe
Nikushauri tu ndugu waone micro credits zipo nyingi na wengi miongoni mwa sharti kadi ya gari
Mfano pale makumbusho
Wengine platinum credits n.k
Wadau salaamu,
Nahitaji mkopo wa haraka na dharura kutoka kwa mtu binafi wa kiasi cha milioni 2, nitarejesha kwa riba ya 40% baada ya mwezi 1.
Dhamana:
1. Gari langu rav4 namba D (nitakabidhi certified copy ya kadi ya gari)
2. Biashara yangu ya bucha (ilioko Bunju B - Mabwepande)
Naomba wasiliana nami inbox.
Ahsanteni
Mkuu, wakati wenzako wapo darasani wanasoma Hesabu, wewe ulikuwa unafanya nini!??Laki nne hiyo kwa mwezi faida
Sasa kusema laki nane imekushinda nini? Nahisi utakuwa bado mtoto under 18Mkuu, wakati wenzako wapo darasani wanasoma Hesabu, wewe ulikuwa unafanya nini!??
Yaani 40% ya 2M ni laki 4!??
Mkuu, wewe na ukubwa wako wa over 18 hujui hesabu, the rest is story!? BTW, fb ndio kidudu gani!?Sasa kusema laki nane imekushinda nini? Nahisi utakuwa bado mtoto under 18
Kila kitu ligi nenda fb kule
Hongera unaezijua zimekusaidia nini mpaka sasa?Mkuu, wewe na ukubwa wako wa over 18 hujui hesabu, the rest is story!? BTW, fb ndio kidudu gani!?