Kaudunde Kautwange
JF-Expert Member
- Nov 15, 2011
- 1,644
- 1,648
Imenisaidia kama hivi, kujua riba itakayolipwa kwenye 2MHongera unaezijua zimekusaidia nini mpaka sasa?
Ukiulizwa apply pythagoras theory in real life utaweza?
Unakaririshwa usichokitumia katika maisha yako
Ndio maana mmejazana kulilia ajira
Soma kitu kitakachokusaidia hata kujiajiri
Umewahi kuona aliyesoma sheria analialia kama mliokaririshwa mahesabu
Kalale ukue
Wewe ndiye yule Dada wa sinza mkopeshaji[emoji24][emoji24][emoji24]???Iko good nidhamu imeongezeka
Ila siku hizi sipokei kadi tena japo naziblock TRA ila sipokei aiseee.
Lazima kadi iambatane na gari ili tusitafutane.
Vipi mbona unalia?Wewe ndiye yule Dada wa sinza mkopeshaji[emoji24][emoji24][emoji24]???
Million 2 tu ilinigharimu pickup yanguVipi mbona unalia?
Alikuliza nini?
Sasa mkuu,binadamu awezaje kumkopa pesa mbwa?Kuna mbwa nimemkopa milion 2
Naona wewe na mbunge wako mmeshusha bonge la bungalow hapo jirani na Nshomile prof. GalabawaNitakufanyia asilimia ishirini tu.
Lakini unaniachia kadi original na gari.
Tupo juu sana.Naona wewe na mbunge wako mmeshusha bonge la bungalow hapo jirani na Nshomile prof. Galabawa
Ilikuwaje?Million 2 tu ilinigharimu pickup yangu
Na wanaonea sana mikopo midogoA see tujitahidi kufanya saving-Wanao to a Mikopo Tanzania hivyo vitaasisi+banks ni shida kuanzia kwenye riba mpaka kwenye collateral.
Juzi nilihitaji mkopo wa 2M,wakaniambie niwape Kadi ya gari au Hati ya Kiwanja ambacho wanakwenda wanabadikisha umliki TRA.Gharama za kubadilisha umiliki+Insurance+car track charges zote juu yako na Mkopo ulipe ndani ya mwezi mmoja kwa riba ya 20%.
Hivyo vitu vyote gharama yake nilipigiwa hesabu ni kama 220,000 mkononi wananipa 1,780,000.Mwisho wa mwezi baada ya mkopo kuiva natakiwa kurejesha 2,400,000 nikijumuisha na 220,000 nakuwa nimerejesha 2,620,000.Nilijiapia bora nile ugali na mrenda mwaka mzima kuliko kufanya huo ujinga
Saccos ndio suluhishoIla ki ukweli, suluhisho ya hizi changamoto ni kujiunga Saccos.. Sehem ninapofanyia kazi tuna saccos ambayo riba ni 5%, na unaamua muda unaotaka kulipa mkopo ila isizidi miezi 36 na unaamua unataka uwe unarudisha sh ngapi kwa mwezi..
Tatizo kubwa kabisa ni uwaminifu wetu wabongo.mtu asipoweka masharti makali hiyo hela hairudi.yaani urushi uko kwenye damuSaccos ndio suluhisho