kokushobya
Member
- Dec 13, 2015
- 19
- 10
Habari zenu wana JF, sorry guy mm nilikuwa nahitaji mtu au sehemu ambayo naweza kupata mkopo wa 100,000 nahitaji kujiajiri mwenyewe nifanye biashara,naomba msaada wenu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari zenu wana jf,sorry guy mm nilikuwa nahitaji mtu au sehemu ambayo naweza kupata mkopo wa 100,000 nahitaji kujiajiri mwenyewe nifanye biashara,naomba msaada wenu
Mikopo midogo hiyo unatakiwa usisumbue mtu kopa tigo pesa Airtel Money nk unabofya tu kwenye simu yako pesa zinaingia za mkopo. Hukopesheki hata kampuni za simu?Habari zenu wana jf,sorry guy mm nilikuwa nahitaji mtu au sehemu ambayo naweza kupata mkopo wa 100,000 nahitaji kujiajiri mwenyewe nifanye biashara,naomba msaada wenu
aise,umenichekesha sana ulivyouliza hapo mwisho...kwamba hata mitandao ya simu inshindwa kumkopesha?Mikopo midogo hiyo unatakiwa usisumbue mtu kopa tigo pesa Airtel Money nk unabofya tu kwenye simu yako pesa zinaingia za mkopo. Hukopesheki hata kampuni za simu?
Yaani mkuu Kama hakopeshiki hata na mitandao Ya simu ambayo haidai hata dhamana huyo mkopaji ni hatarishiaise,umenichekesha sana ulivyouliza hapo mwisho...kwamba hata mitandao ya simu inshindwa kumkopesha?
mitandao ipi inakopesha 100k kwa mara ya kwanza??...acheni hizo bhanaYaani mkuu Kama hakopeshiki hata na mitandao Ya simu ambayo haidai hata dhamana huyo mkopaji ni hatarishi
Kwani laki 1 huwez fanya biashara? inatosha sanaSeriously? unataka kujiajiri na kufanya biashara kwa kuanzia na laki moja? au unamtaji wako ila ni kasoro hiyo laki moja unayotaka upewe mkopo?
Unatakiwa kuanza kidogo kidogo unakopa unarudisha hadi ufikie juu wakipima uaminifu wako.Watu wanakopa hadi laki 5 kirahisi tu.Enzi za kuzurura mji mzima unamtafuta mtu wa kukukopesha elfu 20 au hata laki umepitwa na wakatimitandao ipi inakopesha 100k kwa mara ya kwanza??...acheni hizo bhana
0659629063 namba yangu hyo tuwasilianeUNAFAA KUJIELEZA SAWASAAWA UKO WAPI NA UTALIPA VIPI?
yan kwa mm inanitosha sanaKwani laki 1 huwez fanya biashara? inatosha sana
Nipo dar es salaamKama upo mbeya mjin, weka namba yako hapa ntakucheki soon
cna nyngne naanza na hyohyoSeriously? unataka kujiajiri na kufanya biashara kwa kuanzia na laki moja? au unamtaji wako ila ni kasoro hiyo laki moja unayotaka upewe mkopo?
Yeslaki moja!seriously ?
Sawa mkuupiga namba hii fasterrr utapata mkopo - 0712276855