Totozuriiii
Senior Member
- Mar 15, 2018
- 130
- 66
- Thread starter
-
- #41
kaka naona unauza kiwanja milioni 3 ,kwa mkoani fanya milioni 2.5 utapata mteja
Secondary...kama hautaki basi, lakini m3 siuzi kwa kweliWewe pale kwala sehemu gani mpaka uuze hiyo bei ya milion nane?
kaka naona unauza kiwanja milioni 3 ,kwa mkoani fanya milioni 2.5 utapata mteja
Duh! Yani kwala secondary ndio uuze hiyo bei? Hao waliokataa walikua na haki kule kwenye pori njia ya kwenda ngozi hata kipindi cha baba ridh isingefika hiyo bei sembuse hiki kipind cha baba J?
Duh! Yani kwala secondary ndio uuze hiyo bei? Hao waliokataa walikua na haki kule kwenye pori njia ya kwenda ngozi hata kipindi cha baba ridh isingefika hiyo bei sembuse hiki kipind cha baba J?
Ni kiwanja kuna umeme na maji, na bandari ya nchi kavu ipo apoapo
Labda kwa mgeni ila kwa mwenyeji kama mimi hiyo bei ni kubwa mno
Hizo hela ni kwa biashara gani? Una uhakika gani utaweza kulipa 3.5m baada ya miezi 2?
Bandari ya Nchi ya kavu pwani ni Kwala, pale Kwala sehemu gani?? Kwenye kambi ya JKT, pale karibu na mnadani au kipo kwenye eneo la bandari???
Kipo karibu na shule ya sekondary na ofisi za kata pale centr
Nakupa number ya Mtu mmoja DM, mpigie, anahitaji kiwanja ajenge Guest House, si wajua tena pale bandari ikianza, watu pakulala hawana
Mkuu huu ushauri wako nimeusoma na kuurudia sio chini ya mara tatu.Kwa mtu anayeeelewa mikataba kisheria, riba hii iko juu mno kiasi kwamba ni risky mtu kukukopesha kiasi hicho kwa riba hiyo halafu mkatengeneza mkataba kisheria (una bond na hiyo inaashiria kuwa unataka mkopeshane kisheria).
Tuseme ukishindwa kumrudishia halafu ukaja ukamruka kuwa wakati mnafanya makubaliano akili yako haikuwa sawa sawa, yaani ulikuwa insane, kuna uwezekano ukaja kumshinda kesi. Kumbuka insanity huwa ni mchawi wa mikataba. Riba kubwa kiasi hicho inaweza ikaingiwa kwenye makubaliano na watu ambao mmojawapo ni minor au ni insane, kitu ambacho huwa kina-diqualify mkataba outright!
Nasomeka au sisomeki? Kama sisomeki nijulishe ili nichukue hatua moja zaidiMkuu huu ushauri wako nimeusoma na kuurudia sio chini ya mara tatu.