Nahitaji Mme mwenye miaka 38-49

Nahitaji Mme mwenye miaka 38-49

Husika na mada hapo juu
Mimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 37 nahitaji mwanaume alie na hitaji la mke. Mme wa mtu sihitaji kabisa. Nina mtoto mmoja. Naye akiwa na watoto ni vizuri. Mme awe anatokea mikoa ya iringa, mbeya na njombe kabila lolote awe anaishi hiyo mikoa ili iwe rahisi kuonana . Kama una umri chini ya 38 tusitafutane. Mwenye nia ya dhati ya mke anipm. Ahsante
Age 37 yrs na bado una mtoto alafu bado una chagua!!!!??? Aya, kila la kheri.
 
Husika na mada hapo juu
Mimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 37 nahitaji mwanaume alie na hitaji la mke. Mme wa mtu sihitaji kabisa. Nina mtoto mmoja. Naye akiwa na watoto ni vizuri. Mme awe anatokea mikoa ya iringa, mbeya na njombe kabila lolote awe anaishi hiyo mikoa ili iwe rahisi kuonana . Kama una umri chini ya 38 tusitafutane. Mwenye nia ya dhati ya mke anipm. Ahsante
ok,tuma mawasiliano
 
Dah! Yaani mimi niko maeneo tajwa hapo juu ila umri sasa khaaa! Nina 28.

Haya mama mimi nataka urafiki tu basi sitaki nikusumbue coz sijatimiza vigezo.

Kama hautajali tuwe marafiki tu!
 
Husika na mada hapo juu
Mimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 37 nahitaji mwanaume alie na hitaji la mke. Mme wa mtu sihitaji kabisa. Nina mtoto mmoja. Naye akiwa na watoto ni vizuri. Mme awe anatokea mikoa ya iringa, mbeya na njombe kabila lolote awe anaishi hiyo mikoa ili iwe rahisi kuonana . Kama una umri chini ya 38 tusitafutane. Mwenye nia ya dhati ya mke anipm. Ahsante
Mbona hueleweki mimi vigezo vyote nnavyo ingia chemba tuwasiliane ndani ya saa 24 mambo tayari
 
Husika na mada hapo juu
Mimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 37 nahitaji mwanaume alie na hitaji la mke. Mme wa mtu sihitaji kabisa. Nina mtoto mmoja. Naye akiwa na watoto ni vizuri. Mme awe anatokea mikoa ya iringa, mbeya na njombe kabila lolote awe anaishi hiyo mikoa ili iwe rahisi kuonana . Kama una umri chini ya 38 tusitafutane. Mwenye nia ya dhati ya mke anipm. Ahsante
Hauna nia na mwanaume masharti kibao. Baba wa mtoto yupo wapi
 
Daaah! Kuna mtu aliponda mabeberu hadi imefikia hatua sasa tunaokaa ubeberuni tushaanza kutengwa na wanyakyusa wa Tukuyu kwenye mambo ya kuijaza dunia. Mungu anamuona lakini haya tu🤔
 
Daaah! Kuna mtu aliponda mabeberu hadi imefikia hatua sasa tunaokaa ubeberuni tushaanza kutengwa na wanyakyusa wa Tukuyu kwenye mambo ya kuijaza dunia. Mungu anamuona lakini haya tu[emoji848]
Sio hivyo
 
Mtu ametoa vigezo vyake, kama huna sifa si upite tu, kuna haja gani ya kumtaka aweke vigezo vyako wakati huna sifa anazo zihitashi? Lazima tukubali kutofautiaana.
Serengeti boys kaa mbali.... hataki mume wa kulea!!!
 
Upo sahihi
 
Daaah! Kuna mtu aliponda mabeberu hadi imefikia hatua sasa tunaokaa ubeberuni tushaanza kutengwa na wanyakyusa wa Tukuyu kwenye mambo ya kuijaza dunia. Mungu anamuona lakini haya tu[emoji848]
Duh
 
Back
Top Bottom