Jaluo_Nyeupe
JF-Expert Member
- Dec 21, 2010
- 2,824
- 2,264
Watu wanakosea sana wanapodhani kwa kuwa mwanamke umri umeenda na ana mtoto/watoto basi yupo tayari kuolewa na yoyote tu ili mradi ni mwanaume.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
FactWatu wanakosea sana wanapodhani kwa kuwa mwanamke umri umeenda na ana mtoto/watoto basi yupo tayari kuolewa na yoyote tu ili mradi ni mwanaume.
Kila la heri dadaHusika na mada hapo juu
Mimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 37 nahitaji mwanaume alie na hitaji la mke umri 38 na kuendelea . Mme wa mtu sihitaji kabisa. Nina mtoto mmoja. Naye akiwa na mtoto mmoja ni vizuri. Uwe unaishi mikoa ya iringa, mbeya na njombe kabila lolote ili iwe rahisi kuonana . Mwenye nia ya dhati ya mke anipm. Ahsante
Kuwa na mtoto ni kosa linalosababisha asichague? Halafu hujui huyo mtoto baba yake yuko wapi na kwanini.Age 37 yrs na bado una mtoto alafu bado una chagua!!!!??? Aya, kila la kheri.