Nahitaji Mme mwenye miaka 38-49

Nahitaji Mme mwenye miaka 38-49

Unataka mwanaume mwenye umri kuanzia miaka 38 awe na mtoto mmoja na asiwe mume wa mtu, lol
 
Husika na mada hapo juu
Mimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 37 nahitaji mwanaume alie na hitaji la mke umri 38 na kuendelea . Mme wa mtu sihitaji kabisa. Nina mtoto mmoja. Naye akiwa na mtoto mmoja ni vizuri. Uwe unaishi mikoa ya iringa, mbeya na njombe kabila lolote ili iwe rahisi kuonana . Mwenye nia ya dhati ya mke anipm. Ahsante
Nipo me nipe namba zako
 
Naomba kama hutojali tuwasiliane Mimi nipo Iringa,ila naitaji mke wa pili,na ukweli huwa wanawake hampendi,munapenda uongo,yani MTU akudanganye sina mke ili akutumie mwisho wa Usiku ukija kugundua umepoteza muda,mwanaume wa miaka 38 ajaowa unampata wapi Dada.
 
Back
Top Bottom