Nahitaji mpenzi lakini awe ngozi nyeupe

Nahitaji mpenzi lakini awe ngozi nyeupe

hakika hata mimi JF imenisaidia sana
nimejifunza mengi na sasa mie sio jje's wa mwanzo ni mwingine kabisa
I am proud of myself
Mmh
5d43242c838f6aa7385a19f832c1dd97.jpg
 
Wawe huna shida ya mpenzi za weusi zimekukinai?
 
Habari zenu wanajukwaa.
Kwanza nashukuru sana kwa kuntia moyo ktk Uzi wangu uliopita.
Pili, nikwamba bado cjakata tamaa naitaji mpenzi lakini awe ngozi nyeupe(mzungu) Tafadhali Dada zangu kina miss chagga, miss natafuta, jjes na wengine wote naombeni maujuzi nifanyeje mdogo wenu
Note: sitampa tena mwanaume ela
Ungeweka kwa kiinglishi kutanya wigo
 
Back
Top Bottom