natural girla
JF-Expert Member
- Jul 9, 2017
- 224
- 276
Yan wew ungejua wezako ndo tunao vutiwa nao sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wow sawanaomba uwaforwad kwangu
Ushaur tu mkuuSijaelewa maudhui ya hii thread umeipost ili utafute mwanaume mweupe kijanja sio?
Weupe[emoji3] [emoji3][/Subiri watakuja labda siku za usoni.
Yaaan kila anaenitongoza n mweis tu kwan m nina nyota gan
[emoji3] [emoji3]
Yaaan kila anaenitongoza n mweis tu kwan m nina nyota gan
[emoji3] [emoji3]
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Unashangaa mwanaume mweusi Africa!!? Inabidi ukapimwe mkojo
Kuwaelewa hawa ni ngumu.Atakae kuja kuwaelewa wanawake atakua amefanya kazi kubwa sana. Yani huwa hawaeleweki sijui kwa nini.?
Hivi nyie jema kwenu ni lipi.?
Unachagua rangi.......kwani ww ni fundi rangi?Yaaan kila anaenitongoza n mweis tu kwan m nina nyota gan
[emoji3] [emoji3]
Nyota ya ramiUna nyota ya mkaa!!
Best yani huko Africa 🙂🙂 then unataka mwanaume mweupe???Yaaan kila anaenitongoza n mweis tu kwan m nina nyota gan
[emoji3] [emoji3]