Nahitaji mpenzi lakini awe ngozi nyeupe

Nahitaji mpenzi lakini awe ngozi nyeupe

Unataka mzungu au? Penzi lina rangi, kabila au dini? Ukiona hivyo hujapenda. Penzi halichagui. Unaweza penda anayeendesha kigari cha kukokota ili mradi umpate. Wewe hujapenda unachagua tu.
 
Back
Top Bottom