Nahitaji mpenzi lakini awe ngozi nyeupe

Nahitaji mpenzi lakini awe ngozi nyeupe

Atakae kuja kuwaelewa wanawake atakua amefanya kazi kubwa sana. Yani huwa hawaeleweki sijui kwa nini.?

Hivi nyie jema kwenu ni lipi.?
Mkuu wanawake hata wenyewe hawajielewe huwa wanataka nini yaani inabidi tu kumwachia Mungu.

Hivi ulishawahi kujiuliza Eva (mwanamke) alikubali vipi kushawishika na nyoka, kiumbe ambacho hakina hata dudu (mashine) mara paaaap Eva (mwanamke) akalegeza?

Huyu mwenye uzi kesho + kesho kutwa utaskia analalamika kwa nini hatongozwi na waarabu!
 
ni watamu balaaa
1c592a6282c00405557122d49453afa1.jpg
 
Kwani ww rangi gani kama unataka brown man,smart, wealthier and educated na una sifa zifuatazo ; mrefu, any colour but natural, educated na either self employed au employed nicheki pm tuyajenge!!.
 
Back
Top Bottom