Nahitaji mpenzi lakini awe ngozi nyeupe

Nahitaji mpenzi lakini awe ngozi nyeupe

Kama wanaume mlivyo na machaguo tofauti tofauti, vivyo hivyo wanawake pia.
Hivyo kila upande kuelewa upande mwingine ni ngumu mkuu.
Sasa kama unaona hupati katika machaguo yako ujue pengine fungu lako halipo huko. Kama ipo ni ipo tu haiwezi kuondoka
 
Inategemea uko mkoa gani.. Kama uko Kigoma hao wanaume weupe watatoka wepi? Kajitegeshe Kilimanjaro au Arusha.
 
Utakuwa una nyota ya Giza........ Labda ndio wanaokustahili hao.
 
Kama wanaume mlivyo na machaguo tofauti tofauti, vivyo hivyo wanawake pia.
Hivyo kila upande kuelewa upande mwingine ni ngumu mkuu.
Kuna tofauti kubwa kati ya mwanaume na mwanamke......mwanaume anaweza akachagua mwanamke hata akiwa na miaka 40+ ila mwanamke akiisha kata miaka 25 kuenda juu yoyote atakaye kuja mbele yake yake ni twende na hii ni kutokana na factors za kimaumbilie na kibiologia..
 
[emoji23] [emoji23] [emoji47] kuna wenzako humu walisema hawaelewagi kabisa wanaume weupe+aka+sisi
 
Mm napenda weusi wenzangu wananishangaa kwann nawapenda wanaume weusi.......
 
Back
Top Bottom