Nahitaji msaada kwa tatizo hili la mpenzi wangu

kama anasema hana tatizo na haitaji kwenda kwa dokta basi tatizo analijua anakuzuga.. ila uke kuwa mkubwa mmmh me sina jibu
 
Anakufanyia maigizo huyo. Kama anasema yupo normal na anatatizo pia hospital hataki kwenda means anaogopa ukweli usijulikane. Broo, huo ni mtihani chukua maamzi magumu no matter uli sacrifice nn towards her success. Wadudu hawa ni shida sana.
 
Atakuwa lbd alikutana na mtungo wa watu wenye mashine kubwa kubwa sana hadi wakaharibu reception ya papuchi

Lasivyo kakutana na zile double za kimasai maana nazo ni balaa.

Achana naye tafuta mwanamke mwingine maana huyo hutamridhisha tena kamwe.
utawaachanisha bure...
 
hasante kaka yabidi hapa kutumia force either twende hospital au tuachane tu
Mi nakuambia huyo amepigwa sana na hata ukimrudia atakuwa anaenda kutafuta matango ya mtungo.

Na kama una kibamia ndio kabisaa atakudhalilisha...wanawake wapo wengi watulivu hapa nchini, piga chini huyo.
 
Mi nakuambia huyo amepigwa sana na hata ukimrudia atakuwa anaenda kutafuta matango ya mtungo.

Na kama una kibamia ndio kabisaa atakudhalilisha...wanawake wapo wengi watulivu hapa nchini, piga chini huyo.
kaka ukweli atakuwa anaujua yeye ila mimi sijisifu ila sina kibamia na sijui imeukuwaje hapa ns ndiye mwanamke wa kwanza kujiiona hivi kwa viumbe hivi
 
toka nimeanza mchezo huu sijawahi jisikia napwaya kwa mwanamke
 
Contact bleeding yani kubleed during sex ni dalili ya kansa ya shingo ya kizazi yani cervical cancer awahi ocean road kupimwa
 
Mpeleke Hosp tatizo hilo linaweza kusababishwa na utumiaji wa dawa za uzazi wa mpango au Kansa ya kizazi?!
 
Mpeleke Hosp tatizo hilo linaweza kusababishwa na utumiaji wa dawa za uzazi wa mpango au Kansa ya kizazi?!
ila hakuwa anatumia dawa za uzazi wa mpango according to maelezo yake kwa miaka mitatu ila ngoja nikajaribu ocean road
 
Angalia asije akawa alikua anatumia sex toys..zile zinaua hisia kabsa na kuharibu maumbile! pole yake.
 
Atakua alikua anapigwa sana mtungo huyo na hao jamaa ndio maana the road wamefanya kua kua rough road kwa magari aina ya land rover tu,,,,,

Si huto tujamaa nasikiaga tunavibamia,,,, ko nahisi tulikua tunampa collabo ya maana,,,,,,,
 
Bro, jitahidi umbembeleze muende hospitali...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…