Nahitaji msaada kwa tatizo hili la mpenzi wangu

Nahitaji msaada kwa tatizo hili la mpenzi wangu

kama anasema hana tatizo na haitaji kwenda kwa dokta basi tatizo analijua anakuzuga.. ila uke kuwa mkubwa mmmh me sina jibu
 
Anakufanyia maigizo huyo. Kama anasema yupo normal na anatatizo pia hospital hataki kwenda means anaogopa ukweli usijulikane. Broo, huo ni mtihani chukua maamzi magumu no matter uli sacrifice nn towards her success. Wadudu hawa ni shida sana.
 
Atakuwa lbd alikutana na mtungo wa watu wenye mashine kubwa kubwa sana hadi wakaharibu reception ya papuchi

Lasivyo kakutana na zile double za kimasai maana nazo ni balaa.

Achana naye tafuta mwanamke mwingine maana huyo hutamridhisha tena kamwe.
utawaachanisha bure...
Hello doctor and wanajamii forum,
Natumai mko salama kabisa, labda niende straight to the point, mimi nina mpenzi wangu ambaye alikuwa nje ya nchi kimasomo, ameludi wiki tatu zilizopita, ila tatizo linakuja kwamba toka ameludi kwanza hana hamu ya kufanya mapenzi nami, pili pale ninapomshika sehemu kadhaa ili ajisikie kufanya huwa ana jisikia hamu na tufanya ila huwa anatoka sana damu kama anableed, nikumuuliza anasema hana tatizo lolote, tumeenda kupima kama ana mimba na kukuta hana nikampima HIV nayo hana, hapo sijajua tatizo ni nini.
However nimegundua pia hata maeneo yake ya chini (uke) umekuwa mkubwa sana niki compale na the way alivyokuwa kabla, nilimwambia twende kwa doctor for checking anasema yeye yuko salama kabisa hana tatizo lolote, hapo nikawa na mashaka, Kwa sasa hatujafanya i mean kukutana kwa wiki nzima, na hata hajisikii nami kuchepuka sipendi na tatizo silijui.
Please wadau kama kuna mtu ameshawahi kutana nakitu kama hiki au anajua dawa yake au tatizo nini, nitakuwa na amani sana kulitatua hili tatizo.
Hasanteni sana rafiki zangu.
 
hasante kaka yabidi hapa kutumia force either twende hospital au tuachane tu
Mi nakuambia huyo amepigwa sana na hata ukimrudia atakuwa anaenda kutafuta matango ya mtungo.

Na kama una kibamia ndio kabisaa atakudhalilisha...wanawake wapo wengi watulivu hapa nchini, piga chini huyo.
 
Mi nakuambia huyo amepigwa sana na hata ukimrudia atakuwa anaenda kutafuta matango ya mtungo.

Na kama una kibamia ndio kabisaa atakudhalilisha...wanawake wapo wengi watulivu hapa nchini, piga chini huyo.
kaka ukweli atakuwa anaujua yeye ila mimi sijisifu ila sina kibamia na sijui imeukuwaje hapa ns ndiye mwanamke wa kwanza kujiiona hivi kwa viumbe hivi
 
Contact bleeding yani kubleed during sex ni dalili ya kansa ya shingo ya kizazi yani cervical cancer awahi ocean road kupimwa
 
Mpeleke Hosp tatizo hilo linaweza kusababishwa na utumiaji wa dawa za uzazi wa mpango au Kansa ya kizazi?!
ila hakuwa anatumia dawa za uzazi wa mpango according to maelezo yake kwa miaka mitatu ila ngoja nikajaribu ocean road
 
Angalia asije akawa alikua anatumia sex toys..zile zinaua hisia kabsa na kuharibu maumbile! pole yake.
 
Atakua alikua anapigwa sana mtungo huyo na hao jamaa ndio maana the road wamefanya kua kua rough road kwa magari aina ya land rover tu,,,,,

Si huto tujamaa nasikiaga tunavibamia,,,, ko nahisi tulikua tunampa collabo ya maana,,,,,,,
 
Bro, jitahidi umbembeleze muende hospitali...
 
Back
Top Bottom