miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,811
- 49,053
kama anasema hana tatizo na haitaji kwenda kwa dokta basi tatizo analijua anakuzuga.. ila uke kuwa mkubwa mmmh me sina jibu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
utawaachanisha bure...Atakuwa lbd alikutana na mtungo wa watu wenye mashine kubwa kubwa sana hadi wakaharibu reception ya papuchi
Lasivyo kakutana na zile double za kimasai maana nazo ni balaa.
Achana naye tafuta mwanamke mwingine maana huyo hutamridhisha tena kamwe.
Hello doctor and wanajamii forum,
Natumai mko salama kabisa, labda niende straight to the point, mimi nina mpenzi wangu ambaye alikuwa nje ya nchi kimasomo, ameludi wiki tatu zilizopita, ila tatizo linakuja kwamba toka ameludi kwanza hana hamu ya kufanya mapenzi nami, pili pale ninapomshika sehemu kadhaa ili ajisikie kufanya huwa ana jisikia hamu na tufanya ila huwa anatoka sana damu kama anableed, nikumuuliza anasema hana tatizo lolote, tumeenda kupima kama ana mimba na kukuta hana nikampima HIV nayo hana, hapo sijajua tatizo ni nini.
However nimegundua pia hata maeneo yake ya chini (uke) umekuwa mkubwa sana niki compale na the way alivyokuwa kabla, nilimwambia twende kwa doctor for checking anasema yeye yuko salama kabisa hana tatizo lolote, hapo nikawa na mashaka, Kwa sasa hatujafanya i mean kukutana kwa wiki nzima, na hata hajisikii nami kuchepuka sipendi na tatizo silijui.
Please wadau kama kuna mtu ameshawahi kutana nakitu kama hiki au anajua dawa yake au tatizo nini, nitakuwa na amani sana kulitatua hili tatizo.
Hasanteni sana rafiki zangu.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] yaonekana uchi sio wa nchi hii kabisaMasomo ya nje hayajawa kumwacha mtu salama!!
Ahh kama nchi za huko wala usiwe na was,hawanaga mikuyenge walealikuwa anasoma Thailand then akamalizia ufilipino
Mi nakuambia huyo amepigwa sana na hata ukimrudia atakuwa anaenda kutafuta matango ya mtungo.hasante kaka yabidi hapa kutumia force either twende hospital au tuachane tu
kaka ukweli atakuwa anaujua yeye ila mimi sijisifu ila sina kibamia na sijui imeukuwaje hapa ns ndiye mwanamke wa kwanza kujiiona hivi kwa viumbe hiviMi nakuambia huyo amepigwa sana na hata ukimrudia atakuwa anaenda kutafuta matango ya mtungo.
Na kama una kibamia ndio kabisaa atakudhalilisha...wanawake wapo wengi watulivu hapa nchini, piga chini huyo.
ila hakuwa anatumia dawa za uzazi wa mpango according to maelezo yake kwa miaka mitatu ila ngoja nikajaribu ocean roadMpeleke Hosp tatizo hilo linaweza kusababishwa na utumiaji wa dawa za uzazi wa mpango au Kansa ya kizazi?!
Hahaha sijui waliumbwajeDuuuuu, pole umepigiwa sana huko nje. Ukweli anaujua fika ila hawezi sema. Hawa hua co waaminifu sijui waliumbwaje?
[emoji23][emoji23][emoji23]Alikuwa anasoma nchi gani? Labda alikutana na matango ya ki-Nigeria
hasante kaka kwa ushauri ila amekubali nataka kuanza nae pale ocean road kuchek kama yuko poa upande wa kansaBro, jitahidi umbembeleze muende hospitali...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] syk Eclat katika ubora wakoAlikuwa anasoma nchi gani? Labda alikutana na matango ya ki-Nigeria
Vizuri!!!hasante kaka kwa ushauri ila amekubali nataka kuanza nae pale ocean road kuchek kama yuko poa upande wa kansa