Nahitaji Msaada please, nimebahatika kupata huyu Jidada ila kitendea kazi

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
14,762
Reaction score
32,386
Kuna dawa gani zitaongeza urefu na unene wa mashine? Jana nmebahatika kupata jidada lenye kinu kipana sana na mchi wangu umekuwa mwembamba na mfupi.

Je kuna dawa za kuongeza size ambazi hazina madhara? Maana nmelijaribu aaaaargh wapi hatusikizani kabisa. Mimi sisikiii na lenyewe halisikiii. Nikasema leo ninalo. Nimepata bahati hiyo mbaya lakini sitaki kuwaangusha wabongo. Naombeni utaalam please nisiache sifa mbaya huku.

Angalau niongeze ifike nchi 7 hadi 8 na unene wa kutosha.
 
Practically haiwezekani kuongeza umbile la mwili, ila theoretically inawezekana.
Kama mdada ana maumbile makubwa na unaona huwezi kuhimili, achana nae tu. Kuna watu Me/Ke wamejaaliwa maumbile, ni heri wakikutana na size zao, sisi vibamia tukutane na vipapa vidogo.
 
Duh. Kwa hiyo nliache hivi hivi bila kulisugua sana? Si huwa naona matangazo kuwa kuna dawa za kuongeza unene na urefu?
 
Practically haiwezekani kuongeza umbile la mwili, ila theoretically inawezekana.
Kama mdada ana maumbile makubwa na unaona huwezi kuhimili, achana nae tu. Kuna watu Me/Ke wamejaaliwa maumbile, ni heri wakikutana na size zao, sisi vibamia tukutane na vipapa vidogo.
Mbona Kuna watu wanaongeza unene na urefu wa dushelele kwa kutumia mimea asili?
 
Back
Top Bottom