Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 14,762
- 32,386
Practically haiwezekani kuongeza umbile la mwili, ila theoretically inawezekana.
Kama mdada ana maumbile makubwa na unaona huwezi kuhimili, achana nae tu. Kuna watu Me/Ke wamejaaliwa maumbile, ni heri wakikutana na size zao, sisi vibamia tukutane na vipapa vidogo.
AH AH HII NDO NMEIJUA LEO AH AH KIJANA MIMAYALA YA SOUTH LAZIMA IMUUEUsichezee simu ya mganga, uta delete mizimu
Mbona Kuna watu wanaongeza unene na urefu wa dushelele kwa kutumia mimea asili?Practically haiwezekani kuongeza umbile la mwili, ila theoretically inawezekana.
Kama mdada ana maumbile makubwa na unaona huwezi kuhimili, achana nae tu. Kuna watu Me/Ke wamejaaliwa maumbile, ni heri wakikutana na size zao, sisi vibamia tukutane na vipapa vidogo.
Una proof?Mbona Kuna watu wanaongeza unene na urefu wa dushelele kwa kutumia mimea asili?
Rafiki yangu mmoja alikuza mashine yake kwa kuupaka Ute wa mwegea (mdodiki) Kila kunapokucha.Una proof?
Nikiwa form two tulijaribu hii kitu na rafiki yangu chotara, hadi leo tupo na vibamia vyetu.Rafiki yangu mmoja alikuza mashine yake kwa kuupaka Ute wa mwegea (mdodiki) Kila kunapokucha.
Nawe jaribu uniletee majibu yangu.
Hahaha 😂. Haya mambo nadhani yanategemea ntu na ntu.Nikiwa form two tulijaribu hii kitu na rafiki yangu chotara, hadi leo tupo na vibamia vyetu.
Sasa kama ushaona matangazo Mbona umekuja kuuliza huku?Duh. Kwa hiyo nliache hivi hivi bila kulisugua sana? Si huwa naona matangazo kuwa kuna dawa za kuongeza unene na urefu?