Nahitaji msaada wa kazi yoyote au kibarua chochote

Huyu bwana kiufupi katoa connection, sijui kwa nini kuna baadhi mmemchukulia poa?
 
Pole mkuu na hongera kwa kutambua wajibu wako.
Nadhani ni vyema ukasema unapatikana wapi ili kuweka wepesi.
 
Sawa hizo hizo za kwenye makaratasi lakin zimenifikisha pazur japo nilianzia chin sana, nilijishusha nikaaminika saiv afadhal niko kitengo ila sio tanga, ila tanga imenitoa
Kaz za viwandani had usubir geti lifunguliwe ni manyanyaso nishayapitia ndo mana nikaja kuomba msaada humu sio kuwa napenda ila saiz mambo sio rahisi kama unaweza nidirect Moja Kwa Moja niende
 
Pole
 
Kazi za haraka unazoweza zipata ni kuzunguka mtaani kutafuta vibarua Kwa mafundi hasa kama uko mjini utapata ila kama ni Kijijini umekwisha..
 
Kaz za viwandani had usubir geti lifunguliwe ni manyanyaso nishayapitia ndo mana nikaja kuomba msaada humu sio kuwa napenda ila saiz mambo sio rahisi kama unaweza nidirect Moja Kwa Moja niende
Tanga hamna mpaka geti lifunguliwe na kikubwa ni kuandaa barua ya mtendaji ya maombi ya kazi na kopi ya kitambulisho, nna uhakika hujatembea ukatafuta kazi, nenda sehemu nilizo kuelekeza jamii forum hamna kazi, muda unaoandika uzi hapa ungeshapata ABC za kazi,
 
Achana na ushauri inaonekana hakuna anayeutaka uliowapa wameukataa. Subiri wataouona unawafaa watauchukua wewe kazi umemaliza, ushauri ni bure ila kuuchukua au kuuacha ni mhusika mwenyewe.
 
Kusimama na ukucha una maanisha nn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…