Mkuu habari yako! Nimesoma comment yako kama hautojali nakuomba tuweze kuzungumza mambo kadhaa nadhani unaweza kunisaidia kiasi fulani ni kwa unyenyekevu mkubwa mkuu ukipata muda ukapita huku nakuomba usisite kunitafuta kwa namba yangu ya simu 0710682453 nimejaribu kukufata PM umefunga pm yako. Nitakushukuru kama ombi langu utalipokea. AhsanteMkuu mi nilizijua hizo sehemu sio kwa kuambiwa, baada ya kusimangwa kwa msosi na sehem ya kulala ilibidi nipambane kiume, sio motivation ni hali halisi mtembea bure sio sawa na mkaa bure, vijana wengi saiv wanataka kushikwa mkono hawana uthubutu