Nahitaji msaada wa kazi yoyote au kibarua chochote

Nahitaji msaada wa kazi yoyote au kibarua chochote

Habari za humu ndani wakubwa poleni na majukumu ya hapan na pale

Nimekuja kwenu kuhitaji msaada wa kazi yoyote au kibarua chochote maana Nina hali mbaya kiuchumi na Nina tegemewa na familia.

Kwa yeyote mwenye uwezo wa kunisaidia hata KAZI ya uhouse boy nipo tayar kufanya ili nipite salama haya majaribu ninayo pitia.

Natanguliza shukrani za dhati
Ulishafanikiwa kupata msaada uliohitaji ? Kama bado fanya tuwasiliane niku connect mahala endapo upo dar au arusha
 
Mimi pia nahitaji kazi yoyote halali

Msaada wakuu

0788614446

Nipo Arusha.
 
Back
Top Bottom