Nahitaji msaada wa kisaikolojia niache tabia ya ulevi

Nahitaji msaada wa kisaikolojia niache tabia ya ulevi

Hakuna watu wagumu kubadili tabia zao kama watu wanaotumia vilevi iwe pombe, sigara, unga n.k

Wewe endelea kunywa tu, ila tunza na hela ya matibabu pindi huko mbele mambo yakishaparaganyika...
 
Mkuu karibu Mwanza tuna kituo cha kulea wanaopitia urahibu. Ni mafunzo ya mwaka moja.
Kunakuwa na huduma ya maombi na mind transformation kozi. Kituo kiko chini ya Kanisa TAG.BMCC mwanza. Tuko malimbe karibu na chuo kikuu cha SAUT. Kwa msaada wa Mungu utaacha.
Kuna mtu natamani kumsaidia jmn [emoji24][emoji24]hapa ninapoandika ana warning ya mwisho kazini kaambiwa asifanye makosa yyte yatokanayo na ulevi ndani ya siku 90 ikitokea basi termination inamuhusu[emoji30][emoji30]na yy kesha kuwa addicted bila rehab hawezi acha namuhurumia mno maana na Iman mda wwte anapoteza kibarua chake coz ya pombe!!
 
Unapita ln Paris Club (Lindi) nikuletee dawa ya kuacha pombe?
Mkuu Dawa ipo kweli?nina bro wangu jmn anasikitisha mno afu nikipaji miakili kama yote mechanical engineer[emoji26][emoji26]fundi mkubwa mno wakutegemewa mining lkn ni chapombe balaa pesa yake yte inaishia bar hajui hata bei ya kiwanja na age inasogea [emoji30][emoji30]afu hashauriki utaoga matusi mpka ushangae anatuumiza sana ndugu zake tumehangaika tumeshindwa [emoji26][emoji26]!!
 
Kuna mtu natamani kumsaidia jmn [emoji24][emoji24]hapa ninapoandika ana warning ya mwisho kazini kaambiwa asifanye makosa yyte yatokanayo na ulevi ndani ya siku 90 ikitokea basi termination inamuhusu[emoji30][emoji30]na yy kesha kuwa addicted bila rehab hawezi acha namuhurumia mno maana na Iman mda wwte anapoteza kibarua chake coz ya pombe!!
Nlikua namtania tu ila dawa ni ya kitabia
 
Nakupa pole sana ndugu. Jotahid kuwekeza muda wako wa ziada kuingia gym either kama ni baada ya kazi jion pia jiepushe na marafiki mnaokunywa nao pombe lakin pia ikiwezekana pesa yako usiwe unaishika mwenyew omba m2 unaemuamin kama mama mzazi awe anakutunzia
 
Kufulia pekee ndio kutafanya masikio yako yafunguke na uelewe pombe sio lazima maishani..

Bila hivo hapa tutapiga kelele tu kama ndugu zako wanavofanya...

Wanakuja wanasaikolojia___
 
Ulivyoandika nimezikumbuka simulizi za vitabu vya Alcoholic Annonymous.

Ila ulevi sio poa, pole sana Mkuu
 
Back
Top Bottom