Nahitaji msaada wa kuondoa uchawi na majini

Mkuu hii dunia ina watu wabaya haswaa, unaweza kupigwa juju na hata kutolewa kafara na ndugu, wazazi na wale unaofikiri ni watu wako wa karibu sana....mimi nilishaamua kumtegemea Mungu, ije mvua lije jua....
 
Mkuu Beluwa Samahani sana lakini kwa lugha unayomwaga humu, wewe unaonyesha ni mtu muelewa usiyestahili kuamini mambo hizi kwa Umerogwa.
Ninaamini kwamba kuna a scientific solution kwa kila jambo ulilosema hapa.
Pambana na mrudie Mungu wako.
Huku unapotaka kwenda kutafuta majibu is simply not good.
 
nasikia ka huna changamoto ya kula kitmotoo, we kila siku kaanga/choma/chemsha na mifupa eka kila konaa ...ni mwiba kwa majiji...
kwa wachawi we fuga mmbwaaa havipatanii

ukizidiwa tembelea wazee wa upakoo .... viwanja vya Tanganyika ---Kawe --DSM
 
Ni rahisi sana..ukipata mtu sahihi akajuelimisha nini cha kufanya na kukurudishia confident uliyokuwa umepoteza..hivyo vitakataka utavishinda asubuhi...nimepitia makubwa sana ya kutisha..sijawahi na sitawahi kwenda sijui mchungaji nabii......ninasali mwenyewe ..na nimewashauri wengi namna na aina ya sala dhidi ya hayo ...walifanikiwa kuanzia day one...shetani si lolote ukitambua utajua hana uwezo wowote zaidi ya kutisha..na kusumbua Watu...big up.
 
nilisha hakikishasio mojawapo ya hayo yote

nishajua ninani ila cha kutatanisha hatujawahi kua na physical contact naye. yeye kayatuma mapepo tu

fafanueni hilo la kitimoto
Nakuomba ndugu kama upo serious njoo pm..nataka tupeane mawasiliano niongee na wewe..nikuelekeze cha kufanya mwenyewe..
Nimepitia magumu na kuwashauri waliopo kwenye magumu zaidi ya hayo.
Uganga ni kupoteza muda...wachungaji sijui nini...mmmh utahangaika sana...sijui imani yako ila nitakayokuelekeza na mimi nitaanza aina ya hizo sala mara tuu ukielewa..usipoteze fedha hata mia...Huruma ya Mungu ni buree daima.
 
Waganga hawatokusaidia chochote zaidi ya kukupandikiza na ma spirits ya ajabu amabayo yatakuja kukusumbua badae,,, tafuta makanisa ya maombezi ikiwezekana nenda kwenye madhabau ya inuka na uangaze kawe kwa mtume Dr mwamposa utakua sawa
 
Nina pitia kipindi kigumu kama chako, tena kwa mwanamke nilie mtolea mahari.
 
Shetani ana kutisha tena una weza jinyonga. Mimi nilikua nahisi mikono ina tembea mwilini alafu ina bonyeza sehemu ya moyo basi moyo unaenda mbio sana na nahisi hofu ila nika jaribu ku ignore, swala ni kukosa usingizi tu ndo shida
 
Dawa ni kujifukiza na madawa ya asili atoke mwilini kisha watachoma dawa ya kumtoa mjengoni.
Ukitaka njia ya kanisani pia ni sawa ila itachukua muda mrefu sana na itategemea aina ya jini ana nguvu gani. Kuna pastor alitoka nduki baada ya maombi hajarudi tena.
 
...Comrade Fereke, si ungeyaweka hayo wazi hapa ili wanaJF wenye Shida zao wafaidike? Ama wrote had I waje PM??
Weka mambo hadharani kaka tufaidike wengi, wasiokuwa na shida nayo watapita tu kaka....!
 
Ndugu pole. Najua ni kwa kiasi gani uko frustrated. Ila tatizo lako ni kuwa UNAAMINI KATIKA WACHUNGAJI BADALA YA MUNGU. Hapo ndipo lilipo tatizo. Unatakiwa uamini katika Mungu kupitia mwanawe Yesu Kristo.

Majini yanasoma akili zetu na kila kitu tunachowaza, (provided yako around you) na ndo maana yameshakusoma na kugundua kuwa unapunguliwa imani. Yanapitia hapo hapo.
Sasa hapo ulipo unafikiri Mchungaji anaweza kuondoa majini. Jibu ni big no. Wachujgaji ni njia ya kukusaidia katika kumwomba Mungu kupitia Yesu kristo.

Halafu haya majini yaweza kuwa yanakutwist akili hata ukitaka kuamua kwamba upate msaada wa kiroho ambao ndio njia sahihi, utashangaa unaanza kupuuza kwenda either kanisani, au wewe mwenyewe kuendelea tu kuamini kuwa huwezi kupona kupitia Jina la Yesu.

Believe in Jesus brother, hata kama utapata ugumu gani pale utakaposhinda internal persuasion ndo utaanza kuuona mwanga.

Jina la Yesu ni kubwa sana kiasi kwamba hata jini haliwezi kulitamka, they can easily pronounce the name of God (for their father was created by God in the beginning ) but not Jesus. Believe in him and get an appropriate pastor who can lead you to victory.
Get rid of that hatedness of yours and stop thinking about revenge, God will avenge you. That's his work and not yours.

Sent from my SM-T285 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…