Nahitaji mtu aliyeko Uganda Kampala

Nahitaji mtu aliyeko Uganda Kampala

Habari nahitaji mtu aliepo Uganda

Awe na uzoefu wa masuala ya teknolojia na social media. Pia awe kijana mchangamfu yani kijana wa mjini ukipewa kazini unafanya kwa uhakika.
madam yupo jamaa ila shida anauza kisamvu na si haba ana mzima ww kutosha. Anaitwa POPOMA ni maarufu Sana kwa kuwauzia wanaume visamvu
 
Nakasero nyuma ya Hotel ya FAIRWAY akifika hapo aulizie tu Mtanzania anayekaa katika Nyumba ya Kisasa kisha atakutana na Maaskari na aseme tu katoka Tanzania na nitaarifiwa na akisema katoka Tanzania nitaruhusu aingie ili aje kukutana nami kwa mara ya Kwanza kisha aje hapa JamiiForums awataarifu wale HATERS na wanaodhani NATANIA kuwa tunapokuwa hapa TUACHE KUDHARAURIANA na KUKARIRI maisha. Kitu ambacho sitotaka ni kuomba apige Picha nami japo Yeye nitampiga Picha bila ya Kujijua. Namkaribisha sana na kwa Kujiamini kabisa nimempa hiyo Ramani hivyo ashindwe Yeye tu.

ASANTE SANA MWENYEZI MUNGU NA HAKIKA HUWA HUCHAGULIWI WA KUMBARIKI NA NITAZIDI KUKUABUDU DAIMA BILA YA KUCHOKA.
 
wow nice mr genta and she will be happy to see you
 
duu ndo maana Wa TZ tuko nyuma kifikra na kimaendeleo. Mtu anatafuta fursa za biashara na kutaka kutoa nafasi kwa vijana nyie mmeenda kwenye mambo ya ki&$#@zi kabisa.
Specifically nimesema awe anajua mambo ta teknolojia na social media, anyways walio serious wamejieleza all the best na fikra zenu mbaya
 
Hakuna jambo la kudumu mkuu ile JF ya wakati ule ambayo ilikuwa na vichwa sana imeshapita tayari kwasasa tupo na hii ya vijana waliosoma shule za kata
 
UKiwa na issue serious ni changamoto kidogo kupata utatuzi hapa. Labda kama uombe watu wakuchamgie pesa uma shida hapo atleast unaweza pata responce, ila kwa hiz intelligent stuffs ni ngumu sana
 
duu ndo maana Wa TZ tuko nyuma kifikra na kimaendeleo. Mtu anatafuta fursa za biashara na kutaka kutoa nafasi kwa vijana nyie mmeenda kwenye mambo ya ki&$#@zi kabisa.
Specifically nimesema awe anajua mambo ta teknolojia na social media, anyways walio serious wamejieleza all the best na fikra zenu mbaya
Mbona Makasiriko Mkuu? Nitajie namba yako ya MTN Mobile Money au Airtel Uganda nikurushie Hela kidogo Hasira ipoe.
 
Its the evel of stupidy mnayoonyesha, au kwasababu nimesema vijana? Maana it can be anyone hata kijana wa kike.
Any hows ilikua ni mchongo wa e-marketing na nilitaka kushare na watanzania wenzangu waliopo hayo maeneo coz saaa ingine sio kila kitu unapass kwa unaowajua.
Kwa style hii watu hawataacha kulalamika hakuna kazi
 
Pole sana kwa Stress na Frustrations Mkuu. Nitumie namba yako ya Mobile Money ili nikuombe Radhi kwa Kukurushia Hela.
 
Nakasero nyuma ya Hotel ya FAIRWAY akifika hapo aulizie tu Mtanzania anayekaa katika Nyumba ya Kisasa kisha atakutana na Maaskari na aseme tu katoka Tanzania na nitaarifiwa na akisema katoka Tanzania nitaruhusu aingie ili aje kukutana nami kwa mara ya Kwanza kisha aje hapa JamiiForums awataarifu wale HATERS na wanaodhani NATANIA kuwa tunapokuwa hapa TUACHE KUDHARAURIANA na KUKARIRI maisha. Kitu ambacho sitotaka ni kuomba apige Picha nami japo Yeye nitampiga Picha bila ya Kujijua. Namkaribisha sana na kwa Kujiamini kabisa nimempa hiyo Ramani hivyo ashindwe Yeye tu.

ASANTE SANA MWENYEZI MUNGU NA HAKIKA HUWA HUCHAGULIWI WA KUMBARIKI NA NITAZIDI KUKUABUDU DAIMA BILA YA KUCHOKA.
Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer"
 
Back
Top Bottom