Nahitaji Mtu wa kuongea naye Kiingereza

Sisa Og

JF-Expert Member
Joined
Apr 18, 2024
Posts
201
Reaction score
504
Habari zenu wakuu?
Nimekuwa nikijifunza english kwa mwaka sasa. Hasa pronouncing and listening skills.

Nimefanikiwa kwa kiwango kadhaa lakini changamoto kubwa ni kufanya mazoezi ya kutamka peke yangu. Watu ambao nimekuwa nikiwataka tuwe tunazungumza wananiona kama nimechanganyikiwa. Anyway, they don't know why I need to be fluent.

If you need someone to speak english with even on the phone or face to face and learning together, then am here.

If interested, please dm me

Gender : Male
Age : 25
Way of learning : listening to podcast, interview, online class, watching movies and reading
 
Kama upo bongo karibu tujifunze wote
 
Nadhani I have ample time hii miezi 2, kindly slide kwenye Dm yangu. Atleast niongeze network ya washkaji maana kuwa idle ni shida unaweza kuwa kichaa
 
What About Written Form !? Maana Mimi nina Hearing impairment ( Usikivu Hafifu ) Hivyo Kuongea na Simu inasumbua Kidogo, ila Nipo Vzuri Kwenye Hiyo Lugha Si Haba.
Pole sana mdau, nadhani kama una usikivu hafifu yet kuna namna tunaweza jifunza kutoka kwako sio lazima simu just meet up ndio best way. Akiweka data mtoa mada atakuridia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ