Nahitaji Mtu wa kuongea naye Kiingereza

Yo warap ,no msaying ,wi gala go and gelale hia.
 
Si uende kwao wanyani ngabu
 
What About Written Form !? Maana Mimi nina Hearing impairment ( Usikivu Hafifu ) Hivyo Kuongea na Simu inasumbua Kidogo, ila Nipo Vzuri Kwenye Hiyo Lugha Si Haba.
What About Written Form !? Maana Mimi nina Hearing impairment ( Usikivu Hafifu ) Hivyo Kuongea na Simu inasumbua Kidogo, ila Nipo Vzuri Kwenye Hiyo Lugha Si Haba.
Sawa. Lengo kubwa ni kuongea na kusikia. Kuandika ni kwa kidogo sana. But kusikiliza ni bora kuliko vyote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…