Nahitaji Mtu wa kuongea naye Kiingereza

Jitahidi usikate tamaa...
Your browser is not able to display this video.
 
Clubhouse Kuna house za kujifunza kingereza, mnaongea mwanzo mwisho.

Gemini Al ni free unaweza tumia hiyo maana kuna option ya live.
 
Hapo naona saa hii utakuwa na accent ya waingereza 😁... Nina fluency ya kueleweka Ila sina kiingereza cha kutisha katika mazungumzo ya kawaida. St. Kayumba imeniharibu

Congrats pia mkuu maana lugha ni muhim sana kwa baadhi ya fursa
English yako ni level gani?
 
Mwenye mpenzi wake hata hajitangazi 🤒
Acha hizo,utakuja sahau hata na ww hiyo lugha ya malkia..

Mpe ushirikiano mleta mada.Ila chonde chonde awe na limits maana ww ni mpenzi wangu.
 
If you were a woman, I would accept.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…